FURSA: Ajira waalimu toka Tanzania kufundisha Kiswahili katika shule 90 za majaribio nchini Afrika Kusini.

W

Wazo Kuu

Member
Joined
Oct 21, 2018
Messages
27
Points
75
W

Wazo Kuu

Member
Joined Oct 21, 2018
27 75
Hapa S.A, Nimesoma kwa matumani makubwa tangazo la maandalizi ya kuanza kuajiri waalimu toka Tanzania kufundisha Kiswahili katika shule 90 za majaribio nchini Afrika Kusini.

Msimamo wangu juu ya umuhimu wa Tanzania kuchangamkia fursa hii ya kipekee niliwahi kuusema huko nyuma. Hata hivyo sitaki kuficha hofu yangu juu ya baadhi ya madhaifu yanayoweza kujitokeza katika maandalizi ya kupeleka walimu Afrika Kusini na kuja kutuletea aibu huko mbele.

Moja kati ya madhaifu yanayoweza kujitokeza ni kudhani kuwa kufundisha lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili au ya tatu katika nchi nyingine ni sawa na kufundisha Kiswahili kwa waswahili wanaokiongea tayari.

Tunajua kuwa kufundisha lugha mpya kwa watu wanaozungumza lugha nyingine kunahitaji kujua pia lugha wanayotumia 'wanafunzi' hao ili angalau uweze kuelezea kwa undani misingi ya lugha mpya na kufafanua baadhi ya maneno ili wanafunzi wakuelewe. Mfano, kama unafundisha Kiswahili kwa Waingereza, lazima ujue pia Kiiingereza angalau cha kuongea ili uweze kuwasiliana na wanafunzi wako wakati unawaingizia misingi ya kujua lugha mpya. Kama lugha wanayoongea wanafunzi wako ni kikurya, lazima ujue Kikurya kidogo ili uweze kuwaelekeza kwa kikurya tofauti kati ya 'l' na 'r' kwenye matamshi ya Kingereza, n.k.

Sasa tutanapochagua walimu wetu kwenda kufundisha Kiswahili Afrika Kusini lazima tuchague wanajua pia lugha ya kuelezea wanachokifundisha kwa wanafunzi wao kwa lugha wanayoiongea sasa. Mfano, Afrika Kusini lugha ya elimu ni Kiingereza. Kila mwanafunzi kule anaongea na anapata elimu kwa lugha ya Kiingereza. Kwa hiyo ili walimu wetu wa Kiswahili wafanikiwe kufundisha kuazia a-e-i-o-u mpaka wanafunzi wao waanze kuongea Kiswahili sanifu, lazima walimu tunaopeleka wawe wanajua Kiingereza pia... NDIYO!

Najua hapa ndipo ugomvi huanzia. Watu wakisikia neno "Kiingereza" tu huwa damu inaanza kuchemka. Lakini ukweli ni kwamba, huwezi kufundisha lugha mpya kwa watu wasiozungumza lugha hiyo bila kutumia lugha nyingine. Hata Kiingereza baadhi yetu tuliosoma shule za 'kayumba' tulikuwa tunaelezewa kwa Kiswahili kwanza maana yake ndipo yanaingia vizuri na kutufanya tutamani kujua maana za maneno na sentensi nyingi zaidi.

Tukipuuzia hili na kudhani kila mwalimu wa Kiswahili mwenye shahada hapa anaweza kukifundisha pia katika nchi za wasio waswahili tujiandae kuandikwa magazetini kwamba walimu wetu hawaeleweki kwa watoto! Lazima tupeleke walimu bi-linqua (yaani wanaoweza kuzungumza lugha mbili vizuri). Tusipofanya hivyo tutajikuta tunapeleka waalimu wasiojua lugha ya kufundishia (Kiingereza) na hivyo kujikuta tunatia aibu na kulazimika kuwapisha tena Wakenya wateke soko na kueneza Kiswahili chao chenye ukakasi...

#SisiNiTanzaniaMpyA+๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,973
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,973 2,000

Kuna mwalimu wa Kiswahili ambaye hajui kiingereza? Kamtafute mwalimu yeyote mwenye digrii ya Kiswahili uone mziki wake wa kiingereza.Hata wa diploma tu ya ualimu wa Kiswahili kiingereza wako vizuri sana.
 
mperamwitu

mperamwitu

Member
Joined
Jan 11, 2019
Messages
25
Points
45
mperamwitu

mperamwitu

Member
Joined Jan 11, 2019
25 45

mkuu weka link tuchangamkie fursa mapema wasije wenye undugu, ukabila na udugu wakatuzunguka aiseee
 
Adrian D

Adrian D

Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
50
Points
95
Adrian D

Adrian D

Member
Joined Jun 20, 2017
50 95
Weka link apo watu wafanye yao

#SisiNiTanzaniaMpyA+
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KiuyaJibu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Messages
821
Points
225
KiuyaJibu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2007
821 225
Jamani hiyo link iko wapi au zilikuwa ni ndoto tu?!
 
SADOCK NJIGINYA

SADOCK NJIGINYA

Verified Member
โœ…
Joined
Mar 26, 2013
Messages
1,045
Points
2,000
SADOCK NJIGINYA

SADOCK NJIGINYA

Verified Member
โœ…
Joined Mar 26, 2013
1,045 2,000
Kuna mwalimu wa Kiswahili ambaye hajui kiingereza? Kamtafute mwalimu yeyote mwenye digrii ya Kiswahili uone mziki wake wa kiingereza.Hata wa diploma tu ya ualimu wa Kiswahili kiingereza wako vizuri sana.
sio wote
 
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Messages
542
Points
250
jwhizzy

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2012
542 250
Kweli Mkuu Kiswahili tunachofundisha Ni tofauti kabisa unacho mfundisha Mzungu.

Lugha ya kiingereza Ni Muhimu Sana hasa ukianza kufundisha grammar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Messages
2,139
Points
2,000
REJESHO HURU

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2014
2,139 2,000
Msishangae watu wakapeleka wake zao ambao ni mwalimu shule za msingi kisa tu wapo wizarani na wana mamlaka na hizi nafasi,
 
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
1,456
Points
1,500
kibhopile

kibhopile

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
1,456 1,500
Well kujua kiingereza ili ufundishe kiswahili kwa jamii inayoongea kiingereza ni muhimu. But linguistically teaching a new language has more to do with the methodology rather than knowing the learners language. Kwani mtoto anawezaje kujifunza na kuanza kuongea kiswahili bila kutumia lugha ingine. The brain has a language faculty inayodili na kujifunza lugha kwa kutumia mifumo yote ya fahamu, mwalimu mzuri wa lugha ni yule anayeweza ku activate hiyo ability kwa mwanafunzi wake. Kwa hiyo wape moyo walimu wa Tanzania, they can do it.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmea Jr

Mmea Jr

Senior Member
Joined
May 20, 2016
Messages
194
Points
250
Mmea Jr

Mmea Jr

Senior Member
Joined May 20, 2016
194 250
Watu wanaweza kupinga hili, ila ulichokiandika Mkuu kina ukweli mtupu. Huku napoishi kulikuwa na mzungu mmoja ambaye alikuwa anatafuta mtu wa kumfundisha kiswahili japo salamu tu. Amini usiamini walimu wengi wa kiswahili waliikimbia hii fursa. Kuna jamaa mmoja ambaye Sidhani ata kama alikuwa anadegree yule mtu, ila huwezi amini yule mwamba aliweza kumfundisha yule mzungu. na mbaka sasa Mara nyingi namuona yule jamaa na yule mzungu wakiongozana sehemu mbali mbali na mambo si haba kwa yule jamaa maana nimesikia ameanza kujenga nyumba yake mahali fulani. Ila nikabakia na mshangao mkubwa sana inakuwaje watu waliosoma miaka zaidi sita kwa kiingereza wameshindwa kumfundisha yule mzungu?.
 
kabwigwa

kabwigwa

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Messages
561
Points
1,000
kabwigwa

kabwigwa

JF-Expert Member
Joined May 17, 2014
561 1,000
Ulichokisema kina umuhimu sana.Juzi kati niliwapigia BAKITA kuhusu hizo nafasi nilichoambiwa kama hukusoma kiswahili chuo huwez kupata hizo nafasi hata kama ulisoma education au hata kama unajua kiingereza vizuri na kiswahili.Huu Ni ukiritimba.Ilitakiwa training isiwe biased kwa walio soma Kiswahili tu.Maana kuna watu wanakijua vizuri Kiswahili ila hawajasoma degree Ya kiswahili.Kikubwa mngekua mnachukua Watu kwa kuwafanyisha interview.
 
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
7,166
Points
2,000
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
7,166 2,000
Tangazo la Nafasi za kazi ya Ualimu wa Kiswahili Nchini Afrika ya Kusini Tafadhari fungua hii Link TANGAZO-Nafasi-Ualimu Africa kusini-wynk...
 
kabwigwa

kabwigwa

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Messages
561
Points
1,000
kabwigwa

kabwigwa

JF-Expert Member
Joined May 17, 2014
561 1,000
Tangazo la Nafasi za kazi ya Ualimu wa Kiswahili Nchini Afrika ya Kusini Tafadhari fungua hii Link TANGAZO-Nafasi-Ualimu Africa kusini-wynk...
Mkuu link haifunguki
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,012
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,012 2,000
Watu wanaweza kupinga hili, ila ulichokiandika Mkuu kina ukweli mtupu. Huku napoishi kulikuwa na mzungu mmoja ambaye alikuwa anatafuta mtu wa kumfundisha kiswahili japo salamu tu. Amini usiamini walimu wengi wa kiswahili waliikimbia hii fursa. Kuna jamaa mmoja ambaye Sidhani ata kama alikuwa anadegree yule mtu, ila huwezi amini yule mwamba aliweza kumfundisha yule mzungu. na mbaka sasa Mara nyingi namuona yule jamaa na yule mzungu wakiongozana sehemu mbali mbali na mambo si haba kwa yule jamaa maana nimesikia ameanza kujenga nyumba yake mahali fulani. Ila nikabakia na mshangao mkubwa sana inakuwaje watu waliosoma miaka zaidi sita kwa kiingereza wameshindwa kumfundisha yule mzungu?.
kweli bongo ni aibu tupu
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,012
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,012 2,000
Ulichokisema kina umuhimu sana.Juzi kati niliwapigia BAKITA kuhusu hizo nafasi nilichoambiwa kama hukusoma kiswahili chuo huwez kupata hizo nafasi hata kama ulisoma education au hata kama unajua kiingereza vizuri na kiswahili.Huu Ni ukiritimba.Ilitakiwa training isiwe biased kwa walio soma Kiswahili tu.Maana kuna watu wanakijua vizuri Kiswahili ila hawajasoma degree Ya kiswahili.Kikubwa mngekua mnachukua Watu kwa kuwafanyisha interview.
Uko sahihi mkuu.
Kwa mfano Mimi nimesomea science lkn niko vzr sana kwenye mambo ya lugha pengine kuliko hao waliosomea hyo fani.
 
M

MOYOMKUU

Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
5
Points
20
M

MOYOMKUU

Member
Joined Dec 2, 2016
5 20
Sio kweli kuwa umesoma science halafu uwe vizuri kwenye mambo ya lugha labda kama unamaanisha lugha ya kuongea, lakini sio ya kwenye tahasusi husika. Utondoti wa lugha unategemea na uanagenzi wa lugha husika, kuna kozi maalum kufundisha lugha ya kiswahili kwa wageni. Hivyo walimu husika husoma kozi kwa muda usiopungua miezi minne walitumia kiswahili na kiingereza kama lugha chasili au chanzi na lengwa. Japo kuongea lugha hii tunaweza kufikiri tuna umahiri katika ugha huu la hasha yahitaji uzamivu zaidi.
Uko sahihi mkuu.
Kwa mfano Mimi nimesomea science lkn niko vzr sana kwenye mambo ya lugha pengine kuliko hao waliosomea hyo fani.
 
BENTY

BENTY

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
13
Points
45
BENTY

BENTY

Member
Joined Jan 3, 2019
13 45
Wana jf napenda kujua je wale vijana wetu wanaokwenda kusoma Urusi na lugha ya kujifunzia ni kirusi wanawezaje kuhitimu masomo yao wakati walimu ni warusi ambao hawajui kiingereza au kiswahili.
 
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,314
Points
2,000
mvuv

mvuv

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,314 2,000
Ulichokisema kina umuhimu sana.Juzi kati niliwapigia BAKITA kuhusu hizo nafasi nilichoambiwa kama hukusoma kiswahili chuo huwez kupata hizo nafasi hata kama ulisoma education au hata kama unajua kiingereza vizuri na kiswahili.Huu Ni ukiritimba.Ilitakiwa training isiwe biased kwa walio soma Kiswahili tu.Maana kuna watu wanakijua vizuri Kiswahili ila hawajasoma degree Ya kiswahili.Kikubwa mngekua mnachukua Watu kwa kuwafanyisha interview.
Naungana na BAKITA. Kipaumbele kiwe waliosoma kiswahili maana hao walim wa kiswahili wenyewe. Kwenye lugha kuna sayansi pia yaani isimu. Usikariri kuongea kwako kiswahili basi ndio kuwa mjuz wa kufaa kuwa mwalim wa kiswahili. Hilo wazo lako lapaswa kuwa sifa ya pili si sifa kuu.
 
Forum statistics

Threads 1,304,783
Members 501,517
Posts 31,526,853
Top