Furniture za Ikulu ni zile zile?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,681
149,880
Nimeona mabadiliko sijui nyie wenzangu mlioangalia ITV usiku huu.Nahisi kama zimebadilishwa kwa maana ya Sofa.

Je,mwenzangu umeonaje?
 
Mweeeee vipi zimenunuliwa pale Keko au uzalendo wa kunywa juice za Azam umetushinda.
 
Wacha waondoe, hatutaki any traces za JK Ikulu. Bado Sefue na yule askari mbeba ma briefcase wa JK.
 
Nilienda ikulu leo kupeleka Barua kutoka kwa CEO wangu, ni kweli baadhi ya fenicha zimebadilishwa. (Upgrading)
 
Back
Top Bottom