Ushauri Wa bure: hakikisha unaisajili logo/nembo yako au trade name yako pale brela. Ni gharama nafuu kiasi. Kwa kufanya hivyo utakuwa unailinda project yako dhidi ya mafisadi ambao wanaweza kutumia trademark yako kwa faida zao binafsi
Kimsingi pale brela hakuna usumbufu. Delay zinaweza kujitokeza hapa na pale Kama ilivyo ktk baadhi ya ofisi nyingine za kiserikali lakini huduma ni nzuri. Ila zoezi zima la usajili Wa trademark hadi kukamilika uchukua takriban wa miezi 3
Lakini kabla ya yote hayo, utahitaji uwe na nembo/logo. Kama hauna logo basi, pls wasiliana nami.
Usipitwe faidika na offer hii maalumu.-Kwa Kila kazi moja ya kutengeneza logo utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Templat 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template.
Contact: (mobile/whatsapp/viber): +255 688 999006
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.