Furahisha macho na hizi nembo

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,399
899
... kama wewe ni mpenzi wa sanaa ya nembo nchini.
HONEY SPRING LOGO.png
View attachment 127659
BURHAN LOGO.jpg
Proudly Tanzanian creativity.
 
Celebrating two successful years of tanzanian creativity. Asanteni sana nyote Jf. Kuanzia wamiliki
 
Hakika Watanzania wazalendo tukikaza buti tunaweza kufanikiwa ktk kazi za ubunifu na sanaa. Popote ulipo... Jitokeze!
 
Sio kila kazi nzuri ya sanaa inafanywa na wageni. Wazawa pia tukijituma tutafanikiwa na kufikia malengo
 
Ushauri Wa bure: hakikisha unaisajili logo/nembo yako au trade name yako pale brela. Ni gharama nafuu kiasi. Kwa kufanya hivyo utakuwa unailinda project yako dhidi ya mafisadi ambao wanaweza kutumia trademark yako kwa faida zao binafsi
Kimsingi pale brela hakuna usumbufu. Delay zinaweza kujitokeza hapa na pale Kama ilivyo ktk baadhi ya ofisi nyingine za kiserikali lakini huduma ni nzuri. Ila zoezi zima la usajili Wa trademark hadi kukamilika uchukua takriban wa miezi 3
Lakini kabla ya yote hayo, utahitaji uwe na nembo/logo. Kama hauna logo basi, pls wasiliana nami.
 
Usipitwe faidika na offer hii maalumu.-Kwa Kila kazi moja ya kutengeneza logo utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Templat 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template.
Contact: (mobile/whatsapp/viber): +255 688 999006
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom