Furahia uhondooooooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Furahia uhondooooooo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tundapori, Aug 27, 2011.

 1. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kwa ware wenye iPod, iPhone na iPad au smartphones zingine wawiza kusikiriza mavituzi ya nyumbani kupitia ladio iitwayo "Pride FM" toka Mtwara. Ni ladio mrua kabisa.

  Download Application iitwayo "Tune In Radio" na search ladio za Tanzania. Utapata Pride FM, Ladio Maria na Clouds FM. Ni ladio nzuli kwa kujikumbashia vitu vya nyumbani hasa kwa ware wario ughaibuni. Utapata miziki na taalifa za habali live kabisa.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  kwenu hamna "R"?
   
 3. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  sio fulahia ni furahia umetokea wapi ww kishumundu?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kiswahili chake kinaonyesha ni cha kujifunza sio cha kujifunza toka shuleni. Inaonyesha huyu ni mtu anayetoka mikoa ya Bara labda Tabora na kadhalika
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  i loled so.....HARD!
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehehehehehehehe!
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Kwao hakuna "R" ni Mmakonde wa ukanda wa pwani ya Lindi na Mtwara, wanapenda kujitambulisha kama Wamalaba. (wamaraba) bila shaka ndiye! Hao jamaa kuitamka R" ni mpaka waegemee ukuta au nguzo! Vinginevyo ulimi unajifunga pindo. Wana laana ya kuukana Umakonde.
  Aseme Su! nimpe kisa cha ye kuwa hivyo.
   
 8. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Mmmh! Mbona kiswahili chako utata m2pu? Sio ware, sio wawiza, sio ladio,sio fulahia we jamaa kiswahili cha wapi hicho anakushinda hata wasira bwana!
   
 9. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  mkuu nimepaliwa inabidi uniombe radhi! haaaa haaaa
   
 10. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi ni kwavile 'amechapia' kusema 'ladio' kuna watu wengi wanachangia humu ndani na wanakosa umakini wa R na L kama mmemwelewa potezeeni issue ya lugha
   
 11. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ladio yenu ukiwa ukitaka kusikiriza hapa Mtwala unaipata kwenye Flikwensi gani... Jee ukiwa Rindi,Ilinga,Mologolo na Dalesaraaam inasikika PLIDE FM...
   
 13. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Rakini bandugu si ujumbi umefika. Munisamehe tu si unajuha malugha magum.

  Pride FM inapatikenika katika flikwenzi ya FM 87.8
   
 14. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Asante nina mpango wa kwanza shure.
   
 15. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Mi naona kama joke vile. Mlionivunja mbavu zangu ni wachangiaji. Mbavu zangu jamani!
   
 16. K

  K007 Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaha hii kali jamani!
   
 17. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Eka ma ndede! kwa mwenkya deni muneu wawandu wakunde muoo yaa ndii
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimefutilia post za Tinted na kugundua kuwa hana tatizo la R na L bali tu alikuja kwa style ya kufurahisha jukwaa ili, maana limepoa sana na wadau wake wengi wanaonekana kuwa na msongo wa mawazo sana.......
   
Loading...