Furaha na Simanzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Furaha na Simanzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Sep 17, 2009.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wadau hebu jaribu kujikumbusha siku ambayo katika maisha yako ulifurahi sana na siku ambayo ulisikitika sana.Katika majonzi na katika raha mara nyingi huwa kuna kitu tunajifunza.

  Naanza kujikumbusha mimi:

  My happiest day: Siku Baba yangu aliponiambia nimefaulu mtihani wa darasa la saba!

  My saddest moment: Watching my childrean's reaction the moment I told them their Mom had died!
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Pole sana kwa kufiwa na mkeo.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Watching my baby being born was an experience out of this world. Tokea hospitali hadi nyumbani hadi nilipomweka kwenye bassinet sikuchoka kumwangalia. Nilikuwa namkodolea utadhani sijui nini. Sikulala siku mbili nzima kwa sababu nilikuwa na furaha isiyo kifani.
   
Loading...