Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

Polepole katika moja ya interview alizungumzia watu kupigwa zengwe, Furaha anaonekana kuja na same story na namna watu wanapigwa zengwe.

Kutoka huko "walokoendelea" ukisoma kumbukumbu ya Gen Collin Powell zinasema..."Powell took an early resignation from his tenure as Chairman of the Joint Chiefs of Staff on September 30, 1993. During his chairmanship of the Joint Chief of Staff, there was discussion of awarding Powell a fifth star, granting him the rank of General of the Army. But even in the wake of public and Congressional pressure to do so, Clinton-Gore presidential transition team staffers decided against it.

Ukisoma biblia kuna mtu mmoja anaitwa Yusuf akiwa Misri kwa Potifa ambae alikuwa ni mkuu wa walinzi wa Farao (kwa marekeni tungesema mkuu wa secret service au Tanzania tungesema mkuu wa PSU).
Mke wa potifa akamjaza mumewa kuwa Yusuf alitaka "kumrukia" na akabaki na joho la Yusuf kama ushahidi.

Wakati mmoja JPM akiwa Simiyu akadai report na "vijana wake" walimpa very low grade Tony Mtaka wakidai hafai hata kuwa DC. Nyakati hizo alikuwa DC Mvomero wakati wa utawala wa JK.

Kuna wanadamu huwa wana roho za "kwanini" na kijana anaeleza walimfuata kazini kwake na kundoka nae kimkanda-mkanda, hii itupe kujua, kuna mafigisu sana kwenye mifumo ya utawala duniani kote.

Mungu amlinde Furaha, maana yaonekana anajua mengi dhidi ya kupe ambao wanasabisha ndama wanaishi kwa msoto wa kupe kushiba damu ya ng'ombe.
 
Mungu amlinde Furaha!
 
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.

Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.

Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge

Furaha alikuwa akihojiwa na Aloyce Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.

Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
Nilidhani aliyehojiwa labda ni Msekwa au mtu mmojs mkongwe kumbe ni bwana mdogo Furaha!.
 
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.

Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.

Furaha amesema ameshuhudia mengi sana katika utawala wa mjomba wake ( Magufuli) ikiwemo yeye mwenyewe kudhibitiwa na kikundi cha Wasiojulikana ili asigombee ubunge

Furaha alikuwa akihojiwa na Aloyce Nyanda katika kipindi cha The Big Agenda, Star tv.

Mjadala ulikuwa mkali na Furaha alionekana akifuta machozi mara kwa mara huku mtangazaji Mtozi akimfariji.
Mahijiano yataendelea tena Ijumaa kwani jana hayakukamilika.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Kama Furaha analizwa na CCM wewe ni nani hadi Uchekelee?
Naona ukakazia kbs kuhusu nafasi ya Pascal, ila bwashee wee ni mkuda sana!

IMG_20211029_105959.jpg
 
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope, kufitinishana, kuchongeana na kusingiziana huku KUPE wa chama wakimnyonya damu Rais.
Wadudu CCM, Nyuki wa mama, Chawa, viroboto, Nzi wa kijani, kenge wa kijani, nyoka wa kijani na KUPE .😀😄😀
 
Back
Top Bottom