Uchaguzi 2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

Malaika huwa wanakosa? Sio nyie mliyemuondolea uanadamu na kumpachika uungu? Leo Mungu kafanya yake ndio mnajua mtu wenu alikuwa mwanadamu na hakuwa mkamilifu %?

Kila binadamu mwenye imani kwa Mungu nia yake ni kuwa na maisha kama ya malaika sabubu ndilo analotaka aliyetuumba. Na Mungu kufanya yake kwa kumchukua mtu wake ni utaratibu wa kumchukua aliyemaliza kazi katika mapenzi yake na sio adhabu.

Usichukie watu kuongea habari za malaika maana hiyo itakua roho ya kishetani ila tafuta na wewe kufanana na malaika maana hauijui siku wala saa yako. Japo Mungu anajua sote tumepungukiwa ila anatutaka tuutafute sana utakatifu kwa hiyo nawe jitahidi sana kwa sifa na utukufu wa Mungu
 
Mtu mwenye akili akipokea ushauri wa kipumbavu huoni tatizo ni yeye.
 
Kila binadamu mwenye imani kwa Mungu nia yake ni kuwa na maisha kama ya malaika sabubu ndilo analotaka aliyetuumba. Na Mungu kufanya yake kwa kumchukua mtu wake ni utaratibu wa kumchukua aliyemaliza kazi katika mapenzi yake na sio adhabu.

Usichukie watu kuongea habari za malaika maana hiyo itakua roho ya kishetani ila tafuta na wewe kufanana na malaika maana hauijui siku wala saa yako. Japo Mungu anajua sote tumepungukiwa ila anatutaka tuutafute sana utakatifu kwa hiyo nawe jitahidi sana kwa sifa na utukufu wa Mungu
Hata shetani uchukua watu pia kwann useme kachukuliwa na Mungu.
Kuna aina mbili za vifo kwenda kuzimu au paradiso mtu mwenyewe ndie uamua aende wapi.
 
Ndio maana nimekuambia hata wewe hukubaliki na kila mtu

Wapo wanaokuona mbinafsi zaidi ya unavyoweza kudhania na wapo wanaokuona mwema, ndivyo dunia ilivyo

Jikaze kiume, JPM ameenda lakini mioyoni mwa watu amebaki kama shujaa kwa wengi😃😃

Shujaa gani unaua wananchi wako. Mimi tangu Lissu apigwe risasi na sanane kuuwawa, nilimtoa Magufuri kwenye mawazo yangu.
 
Hakuna kibaya au alichokosea kuongea Furaha Dominiki; sababu hakuna mwanadamu aliyemkamilifu na pia hakuna anaueweza kuwaridhisha watu wote wanaomzunguka kwa 100%

Hata tunaoona anamsema uncle wake tunajipa moyo tuu sababu ya chuki tulizo nazo juu yake, kabla ya kumsema hebu turudi kwenye familia zetu, office zetu, kwenye nyumba zetu za ibada, mitaani kwetu halafu tuone kama kila mtu anatukubali kwa 100%.

Aendelee kulala salama Mwamba Shujaa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli.

Umeenda kimwili lakini kiroho unaishi, wacha waendelee kukujadili
Ni ujinga kufananisha familia , ofisi zenu na nyumba zenu za ibada na utawala katika nchi.

Kama humpendi mume wako katika familia yako unaweza kuachana naye, kama boss wako katika kazi ni fedhuli unaweza kuondoka hiyo ofisi ukatafuta kazi sehemu nyingine, kama kiongozi katika nyumba yako ya ibada ni mpuuzi unwaeza kuhamia kwingine lakini wengi katika nchi hii hawana uwezo wa kwenda nchi nyingine nzuri zaidi mambo yanapoharibika, ndio maana inabidi kuendelea kupiga kelele nchi hii iwe bora kwa kila mtu aliyezaliwa hapa na anapaita hapa nyumbani kwake bila kujali itakadi yake.
 
Ndio maana nimekuambia hata wewe hukubaliki na kila mtu

Wapo wanaokuona mbinafsi zaidi ya unavyoweza kudhania na wapo wanaokuona mwema, ndivyo dunia ilivyo

Jikaze kiume, JPM ameenda lakini mioyoni mwa watu amebaki kama shujaa kwa wengi
Iyo kwa wengi ndo inayonitia shaka, unajuaje kama ni wengi ,
 
Hata shetani uchukua watu pia kwann useme kachukuliwa na Mungu.
Kuna aina mbili za vifo kwenda kuzimu au paradiso mtu mwenyewe ndie uamua aende wapi.

Siwezi kukupa hukumu ila ujue tuu kwamba shetani huchukua watu wanaomsifu, kumtukuza, wanatumikia na kuwahukumu wengine.
Wewe hujajiuliza kama utaenda paradiso au kuzimu halafu unamhukumu aliyekuwa anatamani kwenda paradiso. Unajua alimaliziaje safari yake na Mungu wake?

Mathayo 7:1
“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.
 
Ni ujinga kufananisha familia , ofisi zenu na nyumba zenu za ibada na utawala katika nchi.

Kama humpendi mume wako katika familia yako unaweza kuachana naye, kama boss wako katika kazi ni fedhuli unaweza kuondoka hiyo ofisi ukatafuta kazi sehemu nyingine, kama kiongozi katika nyumba yako ya ibada ni mpuuzi unwaeza kuhamia kwingine lakini wengi katika nchi hii hawana uwezo wa kwenda nchi nyingine nzuri zaidi mambo yanapoharibika, ndio maana inabidi kuendelea kupiga kelele nchi hii iwe bora kwa kila mtu aliyezaliwa hapa na anapaita hapa nyumbani kwake bila kujali itakadi yake.

Yaani wewe akili zako........ acha tuu ninyamaze

Hatuwahipata Rais aliyeshinda kwa 100% sasa kama wewe uliye kwenye ile asilimia ndogo unataka kupiga kelele na kuhama nchi hakuna anayekuzuia. Ila wengi wanapiga kazi na kulinda nch🤣🤣🤣🤣

💣💦💨
 
kwa uchafuzi ule, mwaka Jana ni sawa hatujafanya uchaguzi, labda kipindi kijacho

Na unauita uchafuzi ndio ulikuja kuthibitishwa haukuwa uchafuzi kwenye hizo video

Sababu wakati mimi na wewe kwa uchache wetu tunabishana hapa online, wale waliowengi ndio waliovunja uzio airport na kuruka ukuta kule taifa ndio waliosimama kwenye foleni kumchagua

Ubishi upo lakini kuna la kujifunza hapo
 
Kuna mengi wengine ni matomaso mpaka waone , mtu kalala ndo wanaamini amekufa. Pia hata inapocheza Simba na Zamalek, sio wote wanao angalia mpira ni Simba wengine ni Yanga.
 
Dar es salaam ina wakazi zaidi ya milioni tano, hao waliovunja uzio hawazidi hata watu elfu tatu. Usijichekeleshe tu bila mpango.
 
Yaani wewe akili zako........ acha tuu ninyamaze

Hatuwahipata Rais aliyeshinda kwa 100% sasa kama wewe uliye kwenye ile asilimia ndogo unataka kupiga kelele na kuhama nchi hakuna anayekuzuia. Ila wengi wanapiga kazi na kulinda nch

Unaelewa maana ya wengi?!
 
11 January 2022

EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK.

Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina.

Furaha Dominic, mkemia na mbobevu wa elimu ya mazingira kwa fani alizosomea azungumzia pande mbili za uncle wake John Pombe Magufuli. Mjomba John Pombe Magufuli kuwaamini rafiki na watu wake wa karibu na hivyo wakati mwingine kutokana na imani hiyo alishauriwa vibaya na kupelekea watu kuumizwa bila kujua, na sasa 'wanamsaliti' kwa wazi Magufuli na sera zake.

Pia aliyoyaona ndani ya makundi yaliyopo ndani ya CCM kuelekea uteuzi wa kuchagua wagombea wa ubunge jijini Dar es Salaam hususan jimbo la uchaguzi la Kawe lililopo jijini Dar es Salaam. Furaha Dominick aliwahi kukamatwa tarehe 26 June kabla ya uchaguzi 2020 na kuwekwa ndani wakati wa utawala wa awamu ya 5.

Furaha Dominick visheni yake na matamanio ya CCM iende vipi na matamanio ya wananchi ... n.k n.k mengi sana.

Source: Star TV Habar
Kama namwelewa vile
 
Kuna mengi wengine ni matomaso mpaka waone , mtu kalala ndo wanaamini amekufa. Pia hata inapocheza Simba na Zamalek, sio wote wanao angalia mpira ni Simba wengine ni Yanga.
Dar es salaam ina wakazi zaidi ya milioni tano, hao waliovunja uzio hawazidi hata watu elfu tatu. Usijichekeleshe tu bila mpango.
Unaelewa maana ya wengi?!

Mlipigwa na kitu kizito kichwani, basi endeleeni kufarijiana kwa maneno hayo😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom