mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 15,989
- 35,662
Yule shetani watu walikuwa hawaamini kama kafa hata mimi nilienda uwanjani kuthibitisha kama amekufa sio kwamba nilikuwa nampenda katili uileNa unauita uchafuzi ndio ulikuja kuthibitishwa haukuwa uchafuzi kwenye hizo video
Sababu wakati mimi na wewe kwa uchache wetu tunabishana hapa online, wale waliowengi ndio waliovunja uzio airport na kuruka ukuta kule taifa ndio waliosimama kwenye foleni kumchagua
Ubishi upo lakini kuna la kujifunza hapo