Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

Vijana wa ccm wameacha kufanya siasa za kujibu hoja Kama ilivyokua KWA watangulizi wao ,KWA Sasa hujifanya ni kitengo NDANI ya serikali, ata chama hawajengi wao kusifia tu uku wakichungulia teuzi ,

Ccm imekufa Sana, tuonacho ni pambo ,ila chama kimechakaa Sana
Uchawa na kukata matumaini ya Ajira.
 
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.

wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.

Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.

Nani angetarajia hali anayopitia leo Hamohrey Polepole au Bashiru Ally au hata Kheri James?

Tumeona huko Hai yaliyotokea. Sasa tunasikia Paul Makonda halali usiku wala mchana. Hana uhakika kama akila ndani kesho ataamkia wapi. Waliomtuma au kumpongeza atende aliyotenda wamemkimbia na wengine hawapo.

Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani?

Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.

Kuna hatari huko mbele msipojirekebisha

This was a wakeup call.
Kifupi wale vihere vihere na visebengo vya kiroho upapu kwisha. Akina Muro Jeri wanapumulia makalio huku midomo ya uropokaji ikiwa eda, yule Heri Njemu yeye anapumulia tumbo lake huku hajui aongee nini wakati huo huo mikanda ikiongezewa matobo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani?

Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.
Hao wahuni kuna majira wataburuzwa ubaoni tu!
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
Hata Sabaya na Ndugai walikuwa na dharau kupita zako. leo wako wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom