Funzo Kutoka CAG Report ya ATCL: Profesa Mruma Awasilshe Upya Ripoti Ya Makinikia

Lakini Palamagamba Kabudi aliyeongoza majadiliano si yuko; na Luoga naye kapata na kuwa gavana, hawa wanaweza kuwa chanzo cha taarifa za kuhakikiwa!
Palamagamba Kabudi ni intellectual hermaphrodite. Siyo mtu wa kumuamini
 
Tume zote za JPM zilikwa hogwash, hata ile ripoti ya Salehe Pamba kuhusu Environmental impact assessment (EIA) ya Steiglers Gorge ilikuwa uongo mtupu.
Ile EIA ya Stiglers Gorge ni FAKE kabisa. Lakini tulikuwa na Rais MWENDAWAZIMU, akiamua anataka litekelezwe bila kujali madhara.

Wataalamu wanasema 36% ya water flow haipo kwa sasa compared to 1980s feasibility study ya RUBADA ilipofanyika.

Katika miradi ambayo naamini Rais Samia Suluhu hataendelea nayo ni huo wa umeme wa STIGLERs al maarufu kama JNHEP Project
 
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko miaka iliyotangulia katika uwasilishaji wa Ripoti yake kwa Rais.

Kutokana na mukhtadha huo, nashiwishika kusema kuwa hata Profesa Mruma yawezekana ripoti aliyowasilisha kwa Rais mnamo Septemba 2017 "ILICHAKACHULIWA' kukidhi nadharia za Rais Magufuli.

Madhara ya ripoti ile ni ile fedha tiliyoambiwa ACACIA wanapaswa wailipe Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 450 Trilion. Hata hivyo Barrick/ACACIA walikataa madai hayo na Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi na kuitwa msaliti

Ombi:
Ikimpendeza Rais naomba Prof Mruma awasilishe anachokijua ili aache legacy nzuri kama mtaalamu wa geology
Ndio ile professorial rubbish?
 
Sio kwa kiwango kile cha thamani ya fedha dola bilioni 190!, Ile ripoti kwa mtu anayetumia akili yake vizuri bila hata kuwa mtaalamu wa jiolojia au mchumi ilijaa upotoshaji mkubwa sana kuwahi kutokea nchini.

Thamani ya barrick haijafika hio 190usd, hivyo halikuwa deni linalolipika hata wangeuza asset zao zote nchini. Uzuri ni kuwa barrick ni public company taarifa zake za fedha zipo wazi mtandaoni, nenda kapekue uone kama kuna uhalisia wa deni hilo na hakuna kampuni profitable kiasi hicho duniani kiasi cha kulipa kodi tu 190bn usd na ukumbuke kuwa hii multinational corporation ana oparesheni nchi kadhaa duniani. Hakuna kampuni yenye faida kiasi hicho duniani.
Well put, this is a purely Great Thinker argument
 
Kwa uhakika wa 100% hakuna chochote tulichokuwa tunaibiwa kupitia makinikia. Ujinga wa Watanzania wengi unawafanya watawala kuwalisha uwongo mwingi kwa kujua kuwa watanzania watameza taarifa wanazopewa kama zilivyo.

Taarifa zile za kijinga za akina Mruma, leo kwa aibu zimetupwa kwenye mashimo ya takataka kiasi cha kushindwa kuamini kuwa kazi ile eti ilifanywa na maprofesa! Report ile hata mwanafunzi wa Geology wa mwaka wa 2 angeweza kujua bila shaka kuwa ulikuwa ujinga mtupu. Maana viliandikwa vitu ambavyo havijawahi kuwepo tangu Ulimwengu uwepo.
 
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko miaka iliyotangulia katika uwasilishaji wa Ripoti yake kwa Rais.

Kutokana na mukhtadha huo, nashiwishika kusema kuwa hata Profesa Mruma yawezekana ripoti aliyowasilisha kwa Rais mnamo Septemba 2017 "ILICHAKACHULIWA' kukidhi nadharia za Rais Magufuli.

Madhara ya ripoti ile ni ile fedha tiliyoambiwa ACACIA wanapaswa wailipe Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 450 Trilion. Hata hivyo Barrick/ACACIA walikataa madai hayo na Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi na kuitwa msaliti

Ombi:
Ikimpendeza Rais naomba Prof Mruma awasilishe anachokijua ili aache legacy nzuri kama mtaalamu wa geology
"Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 450 Trilion"
 
Ukweli kabisa, suala la makinikia, na report ya Mruma, nina ufahamu wa 100%. Na prof. Mruma akiwa mru wangu wa karibu sana.

Yote aliyoyasema Rais Magufuli kuhusiana na kuibiwa dhahabu kupitia makinikia, ulikuwa ni uwongo mtupu ambao ulilenga kuwadanganya wajinga ili kupata simple political popularity.

Rafiki yangu Mruma alikuwa na wakati mgumu sana. Akawa hana namna, ikamlazimu kufanya kama mkubwa alivyotaka huku yeye akipoteza kabisa heshima yake mbele ya wasomi. Maana ile report, ilikuwa ya kijinga kabisa, hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa geology, angejua kuwa ni rubbish.
Mkuu Hamatan ongeza sauti
 
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko miaka iliyotangulia katika uwasilishaji wa Ripoti yake kwa Rais.

Kutokana na mukhtadha huo, nashiwishika kusema kuwa hata Profesa Mruma yawezekana ripoti aliyowasilisha kwa Rais mnamo Septemba 2017 "ILICHAKACHULIWA' kukidhi nadharia za Rais Magufuli.

Madhara ya ripoti ile ni ile fedha tiliyoambiwa ACACIA wanapaswa wailipe Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 360 Trilion. Hata hivyo Barrick/ACACIA walikataa madai hayo na Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi na kuitwa msaliti

Ombi:
Ikimpendeza Rais naomba Prof Mruma awasilishe anachokijua ili aache legacy nzuri kama mtaalamu wa geology
Wadau turudi hapa kwenye makala yangu ya March 2021
 
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko miaka iliyotangulia katika uwasilishaji wa Ripoti yake kwa Rais.

Kutokana na mukhtadha huo, nashiwishika kusema kuwa hata Profesa Mruma yawezekana ripoti aliyowasilisha kwa Rais mnamo Septemba 2017 "ILICHAKACHULIWA' kukidhi nadharia za Rais Magufuli.

Madhara ya ripoti ile ni ile fedha tiliyoambiwa ACACIA wanapaswa wailipe Tanzania Tsh 190 Bilion sawa na Tsh 450 Trilion. Hata hivyo Barrick/ACACIA walikataa madai hayo na Tundu Lissu akashambuliwa kwa risasi na kuitwa msaliti

Ombi:
Ikimpendeza Rais naomba Prof Mruma awasilishe anachokijua ili aache legacy nzuri kama mtaalamu wa geology
hivi huyu jamaa alisoma chuo gani?
 
Back
Top Bottom