real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Wakazi wa Kitongoji cha Mbanganyigale kilichopo katika wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya wamevamiwa na funza katika mazingira ya kutatanisha
Kutokana na halihiyo, wananchi hao walilazimika kukutana mkutano wa hadhara kuwajadili wadudu hao.
Wakati wa mkutano huo wakazi hao walimtuhumu mmoja wa wazee wa kitongoji hicho mwenye umri wa miaka 80 kwamba ndiye aliyewaleta.
Kutokana na kukerwa na wadudu hao wananchi walilazimika kumnywesha mzee huyo dawa ya kienyeji iitwayo Kabwela inayodaiwa kuwa na nguvu za kudhoofisha uchawi.