Funua bongo na falsafa za kimalenga.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,297
Umeelewaje msemo huu ?
''Masikini hajui namna ya kula na tajiri,masikini anapopewa samaki anaanza kula kichwani''
 
Matajiri wengi hawapemdi kula vichwa sasa wewe ukianza kula kichwa tajiri atakuachia nini..
Anza naye mkiani mkifika kwenye kichwa anakuachia kichwa chote nawewe ndio unapotajirika hapo.
 
Ukiona anakaa viti vifefu bar na wewe unaiga! Atakupiga chini!! Hata kama akikuita, daka soda na uambae!
 
Back
Top Bottom