Funiture Dar-es salaam

LadySwa

Member
Jan 25, 2009
77
6
kama kuna mtu anajua mafundi wanaoweka funiture kwa jumla na kwa beinzuri naomba contact.
 
Tanzania hakuna furniture nzuri kama unabisha kaulize ikulu wao wanaagizia ulayaa.
Huko ndipo kuna miti kwetu hakuna.
 
Tanzania hakuna furniture nzuri kama unabisha kaulize ikulu wao wanaagizia ulayaa.
Huko ndipo kuna miti kwetu hakuna.

SAD! Hiyo kauli yako imenikuta pabaya sana-ninachat na jamaa flani kutoka Australia-anapondasana serikali yetu kwa kukosa "priorities"!!!!
Anyway kaka unayetafuta wataalam wa fenicha (pamoja kuwa hauko specific!), jaribu kuwasiliana na mjasiriamali mmoja anaitwa "MANYUSI"-Search Humu JF kisha UM-PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom