#COVID19 Funika pua na mdomo wako unapokukohoa au kupiga chafya ili kuzuia ueneaji wa Covid-19

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa, kupiga chafya na kuongea kunapunguza kasi ya ueneaji wa #coronavirus.

Unashauriwa kufunika pua na mdomo kwa kitambaa safi au Kisugudi 'elbow' na kisha ukisafishe au kukitupa ili kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya corona.

Zaidi ya hayo, unashauriwa kusafisha mikono yako vyema na kuvaa barakoa ili kujilinda na kuwalinda watu wa karibu dhidi ya maambukizi.

===
Cover Coughing and Sneezing
Covering coughs and sneezes and keeping hands clean can help prevent the spread of serious respiratory illnesses like influenza, respiratory syncytial virus (RSV), whooping cough, and COVID-19. Germs can be easily spread by:

Coughing, sneezing, or talking
Touching your face with unwashed hands after touching contaminated surfaces or objects
Touching surfaces or objects that may be frequently touched by other people

To help stop the spread of germs:
- Cover your mouth and nose with a tissue when you cough or sneeze
- Throw used tissues in the trash
- If you don’t have a tissue, cough or sneeze into your elbow, not your hands

Remember to immediately wash your hands after blowing your nose, coughing or sneezing.

Washing your hands is one of the most effective ways to prevent yourself and your loved ones from getting sick, especially at key times when you are likely to get and spread germs.

CDC
 
Back
Top Bottom