Fungus ambao wananisumbua mwaka wa pili sasa, nimemaliza hela nyingi na nimetumia dawa nyingi sana ila sijapona

Anza hii dozi sasa
Kula punje kama 10 hivi za tunguu swaumu kila asubuhi kabla ya chochote zikate Kate vipande vidogo vidogo acha kwa dakika 10 hivi ndio umeze na maji. Daily doze HII

Then baada ya dakika 30 chukua bicarbonate soda weka vijiko 1 na kijiko moja ya Apple cider with mother, kwa glass 1 ya maji
 
Habari zenu waungwana,

Jamani eh! Nina tatizo naomba someni uzi wangu mpaka mwisho na mnisaidie naomba mnisaidie tafadhali....

Naomba nikuulize kitu kama hautojali.

Ikifika jioni unakua unawashwa sana mpk kwenye Miguu na mda mwingine unakua kama unavimba?

Vipele vyako vimetokea kwenye Uume nivikubwa vinakua kama vinakuwasha vinaitaji ukune mda wote?

Kama ndio basi naomba nikuelekeze uende pale Posta kituo cha mwendo kasi Halmashauri ya jiji au Laptop city uende Bulhan hospital omba kukutana na daktari wa ngozi.

Uo ni ukurutu ni ugonjwa ulionisumbua kwa muda kidogo 2019 now nimepona kabisa na unaambukiza maana nyumba nzima nakumbuka walikua nao tukapata dozi wote.

Zingatia ufuaji wa Matandiko ya kulalia kwa wakati, kufua boxer kila baada ya siku 1 au 2 , tumia maji masafi yasiyo na wadudu muda wote kuogea na kunawa pia.

Zingatia usafi wa mwili namaanisha kuoga angalau mara 2-3 kwa siku.

Tumia dawa ya scaboma kupaka mwili wako kila wiki( siku moja ya wiki) kila utokapo kuoga kwa muda wa mwezi mzima ( inauzwa 8000/= Tsh)

Kuna vidonge jina sivijui ila nina picha unapewa dozi nzima inabidi umeze kila siku kimoja usiku kwa mwezi mzima ukianza meza ivi vidonge utaona mabadiliko ndani ya siku 2-3 vipele vya kwenye uume vitaanza kauka na kusinyaa( nakutumia picha ya vidonge chini uende kubitafuta duka la madawa au phamacy kubwa)

NB: MUONE DAKTARI KWA USHAURI ZAIDI
IMG_3574.JPG
 
Pole sana mkuu, kama ni Scabies changanya mafuta ya karafuu concetrated 3/4 kwa mafuta ya nazi/olive oil 1/4 kisha paka hutamailza wiki.
 
Habari zenu waungwana,

Jamani eh! Nina tatizo naomba someni uzi wangu mpaka mwisho na mnisaidie naomba mnisaidie tafadhali.

Nilikuja hapa kuomba ushauri miezi kadhaa nyuma kwa tatizo langu la {fungus} nilipewa ushauri na nikaufuata vyema na baadhi ya vitu ambavyo niliambiwa nitumie ila bado sijapona na tatizo limeongezeka.

Naomba nieleze vyema leo ninavyosumbuliwa ili mwenye kunisaidia anisaidie.

Ni hivi;

Nina fungus ambao hapo mwanzo walianza kutoa vipele vyenye maji maji na nikaenda kuchoma {powercef} nikapona, wakarudi tena nikatumia {azuma} nikapona, wakarudi mara ya tatu sasa hapa vilitoka vilengelenge na si chunusi tena, nikaona niende hospitali maana likaja na tatizo jingine ambapo ili njia ya mkojo inachoma choma na mishipa ya uume inavuta si kawaida.

Nilivyoenda Mwananyamala nikafanya vipimo vyote vya zinaa sikukutwa na tatizo nikaambiwa nifanye {culture} pia majibu yakawa hakuna mdudu aliyeota, nikapewa transfer ya Muhimbili nako nikafanya vipimo vikubwa nikaambiwa hakuna tatizo hivyo nikapewa dawa za kupaka kwa ajili ya {fungus} na ya lile tatizo la kuvuta na kuchoma choma katika njia ya mkojo nikatumia sikupona.

Hapo sasa ndio vikaanza kutoka vichunusi na vilengelenge, kuna dispensary moja nikaenda kuchoma sindano ya {alergy} na ya kuuwa vile vipele haikufanikiwa na hapo nikaanza kuona uchafu unatoka wa mfano wa shahawa na nikaanza kutoka na vipele mikononi ambavyo vinawasha sana na baadae hali kurudi kama kawaida katika sehemu za siri.

Na sasa hivi korodani zina washa, uume wenyewe unawasha na una vipele vidogo vidogo, mwili mzima unatoka vipele kimoja kimoja vyenye maji maji ambavyo ukikuna huwasha na hutoa maji maji, nawashwaa jamani nawashwaa haswaaaa nisaidie hili tatizo nimemaliza hela nyingi na nimetumia dawa nyingi sana ila sijapona.

Namba zangu ni +255686978566 au +255692224990

Naombeni msaada wenu

Na hizi ndio chunusi zinazo nisumbua zipo muundo huo.

View attachment 1677961
Pole Mkuu kama umepima Damu Full blood picture na hakuna maradhi yailiyo onekana basi utakuwa una maradhi ya kichawi umefanyiwa uchawi na maaduwi zako kwa dawa za hospitali huwezi kupona kwa dawa za asili unaweza kupona uguwa pole.
 
Anza hii dozi sasa
Kula punje kama 10 hivi za tunguu swaumu kila asubuhi kabla ya chochote zikate Kate vipande vidogo vidogo acha kwa dakika 10 hivi ndio umeze na maji. Daily doze HII

Then baada ya dakika 30 chukua bicarbonate soda weka vijiko 1 na kijiko moja ya Apple cider with mother, kwa glass 1 ya maji
AHSANTE mkuu
 
Pole Mkuu kama umepima Damu Full blood picture na hakuna maradhi yailiyo onekana basi utakuwa una maradhi ya kichawi umefanyiwa uchawi na maaduwi zako kwa dawa za hospitali huwezi kupona kw adawa za asili unaweza kupona uguwa pole.
AHSANTE kiongozi
 
Naomba nikuulize kitu kama hautojali.

Ikifika jioni unakua unawashwa sana mpk kwenye Miguu na mda mwingine unakua kama unavimba?

Vipele vyako vimetokea kwenye Uume nivikubwa vinakua kama vinakuwasha vinaitaji ukune mda wote?

Kama ndio basi naomba nikuelekeze uende pale Posta kituo cha mwendo kasi Halmashauri ya jiji au Laptop city uende Bulhan hospital omba kukutana na daktari wa ngozi.

Uo ni ukurutu ni ugonjwa ulionisumbua kwa muda kidogo 2019 now nimepona kabisa na unaambukiza maana nyumba nzima nakumbuka walikua nao tukapata dozi wote.

Zingatia ufuaji wa Matandiko ya kulalia kwa wakati, kufua boxer kila baada ya siku 1 au 2 , tumia maji masafi yasiyo na wadudu muda wote kuogea na kunawa pia.

Zingatia usafi wa mwili namaanisha kuoga angalau mara 2-3 kwa siku.

Tumia dawa ya scaboma kupaka mwili wako kila wiki( siku moja ya wiki) kila utokapo kuoga kwa muda wa mwezi mzima ( inauzwa 8000/= Tsh)

Kuna vidonge jina sivijui ila nina picha unapewa dozi nzima inabidi umeze kila siku kimoja usiku kwa mwezi mzima ukianza meza ivi vidonge utaona mabadiliko ndani ya siku 2-3 vipele vya kwenye uume vitaanza kauka na kusinyaa( nakutumia picha ya vidonge chini uende kubitafuta duka la madawa au phamacy kubwa)

NB: MUONE DAKTARI KWA USHAURI ZAIDI
View attachment 1678024
Nashukuru Sana ndugu ahsante nitafanya kama ulivyo nielekeza
 
Back
Top Bottom