Mie najua kasi ya kukuchek inaongezeka sana
Mimi bado hivyo sina majibu.
Ukiona hakucheki Tena hewani ujue Kuna Jambo moja Kati ya haya yafuatayo;-
1. Hukumridhisha.
2. Alikuwa anataka NYAPU tu Sasa lengo limetimia
3. .........
4...........
Ama Tena
5...........
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na show uliopata,kwel mm huwa ikiwa chin ya kiwango nkikutupa mgongo huwa nataman hata kudelete nambMie najua kasi ya kukuchek inaongezeka sana