CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 560
- 2,087
kila siku binadamu tunaishi kwa mipango, malengo na matamanio, shauku na Maono juu ya maisha yetu..
Hebu leo toa ya moyoni
Kwa kuanza na maneno haya "Ee Mungu......
Laiti ninge.......
Daaah.......
Mimi ni.........
Na maneno mengine utakayopenda kutumia
Dada/kaka ukiona jambo zuri lililokuvutia kutoka kwa jinsia nyingine Mwambie " Wooow"