Fungueni acc za Bank, makato kwa mitandao ya simu ni makubwa sana

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
Nakubali kuwa transaction za mitandao ya simu iko convenience sana ila haya makato yao sio rafiki kabisa ni kama wanatukomoa yaani.

Ni bora ku transfer pesa kwa account za kibenki ndugu zangu, mimi kuanzia tarehe 1 mwakani ishallah ndio itakuwa kutumia mitandao ya simu kuweka au kutuma pesa.

Ni ushahuri tu.
 
Inategemea na maisha ya mtu, sasa kwa mtu mwingine kuweka pesa Bank kwa kipato kdogo amabacho unakiweka na kukitoa baada ya muda fulani
 
Miamala ya simu mizinguo Sana mi mwenyewe nimehamia bank effectively, simu banking nimeikacha voda nimehamia halopesa somehow wananishawishi for emergency only
 
Kama umepata kihalali na wakalithibitisha hilo then what next?
Ss huo usumbufu wa kuleta proves ndo watu hawataki. Kuna watu wanafanya biashara za tit for tat ukizubaa umeikosa, ss nipo mikoani huko kijijini nataka nifanye online transfer siwezi mpaka niende kwenye bank yangu nikampe manager maelezo na biashara unaikosa.
 
Back
Top Bottom