Fungate la Uhuru

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Oct 27, 2018
424
427
Habari za pasaka wana JF.

Naamini watu wengi sana mnaosoma uzi huu mmesoma hicho kitabu kwa Advanced level.


Wenyewe wanasema Codes msemo huu wa humu JF.
Harakati za kupigania uhuru.

Watanganyika walikua pamoja sana na Mwalimu kama One among of champion but the rest yule mzeee wa Songea.


Soon after in dependence..
Fungate likaanza ndio mana Mr.kifimbo na Mzee wa Songea walikua na miss understanding fulani hivi.

Dhambi ilianzia hapaa.
Ndio ilizidi kukua.

Dhambi kati ya yale ambayo walikubaliana yaliendelea.
Yaani interest.
Ngumu sana Kuandika.

Ila ukweli taifa linaharibiwa na watu ambao wana Nguvu zaidi ya SYSTEM


Hawa ni wale ambao walioweka pesa Uswiss.
Waliofaidi mema ya Taifa (keki).

Ndio mana leo hii TISA inaonekana kama useless hivi.

Sisi bado tupo nyuma sana

Sasa wakina Meko ndio wanatuamsha kwamba mambo yalikua hivi.

Yaaani vile vipesa ya tegeta ni chai tuu.


But keki imeliwa haswa haswa.
Mgogoro mkubwa ni interest kati ya mabepari wa ndani ya taifa tuu.

Leo hii unasikia team kazi na bata na hapa kazi tuuu.


Haya yote ni kwa sababu.

,,,,FUNGATE LA UHURU;;;;;;
wajanja wachache wanafaidi mema
 
Back
Top Bottom