Funga kazi akili ku mkichwa!!!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,835
630
Taja vitu 5 uvionavyo kwenye picha hii!

nyau.jpg
 
naona wadada wa3, waliotengeneza uso wa chui/chita.

kivipi??
wadada wawili walioko mbele wamekaa na kukunja magoti kwa mbele, mwenzao mmoja kaja kuwakumbatia kwa nyuma. nguo walizovaa zimechorwa macho ya chui na huyu aliyewakumbatia imechorwa pua na miguu ya mdada wa nyuma imetengeneza ulimi wa chui mwenyewe.
 
Umejitahidi ila jaribu tena
cc=gfsonwin
 
naona wadada wa3, waliotengeneza uso wa chui/chita.

kivipi??
wadada wawili walioko mbele wamekaa na kukunja magoti kwa mbele, mwenzao mmoja kaja kuwakumbatia kwa nyuma. nguo walizovaa zimechorwa macho ya chui na huyu aliyewakumbatia imechorwa pua na miguu ya mdada wa nyuma imetengeneza ulimi wa chui mwenyewe.

Brilliant! lakini hujataja vitu vitano!
 
Sakapal, kweli umeniongezea maisha...... yaani nimecheka sana, mwenye kuwecha picha hata hasemi chochote!!!
 
Jamani!!!! haya huyu nae kakamatwa ugoni au ndo wale wanaodondokaga na ungo halafu wanakuwa hawaongei na macho wameyatoa kama fundi saa doooh!!
Nahisi kama kesi za fumanizi zinazidi kila kukicha! hii ni kwa sababu waume wamukua buzy kutafuta hela au !!!!!!
 
Sakapal, kweli umeniongezea maisha...... yaani nimecheka sana, mwenye kuwecha picha hata hasemi chochote!!!

hahahaaaa yaani hata mie nimecheka kwelikweli nilipoiona hiyo picha pata picha unaingia chumbani kwako from kazini au safari unamkuta jamaa kakaa namna hiyo kitandani kwako kisha mkeo nae anakukimbilia na kukwambia, '' mume wangu mwanga kaanguka kutoka kwenye ungo hana hata nguo yaani mie nilikuwa nimelala kitandani bila nguo nikashangaa mtu kanidondokea juu nikiwa sielewielewi kabla hata sijapiga kelele la msaada ndo unaingia karibu unisaidie kumtoa huyu mchawi atakuwa amekuja kutuwangia mumewangu''.
Wewe kama mume utafanyaje hehehehe mke ndo kajitetea hapo.
 
Nahisi kama kesi za fumanizi zinazidi kila kukicha! hii ni kwa sababu waume wamukua buzy kutafuta hela au !!!!!!

wako busy kutafuta hela na wamesahau wajibu wao home looh ndo wanakutana na wanga wamedondoka kutoka darini na wamedondokea vuitandani mwao.
 
hahahaaaa yaani hata mie nimecheka kwelikweli nilipoiona hiyo picha pata picha unaingia chumbani kwako from kazini au safari unamkuta jamaa kakaa namna hiyo kitandani kwako kisha mkeo nae anakukimbilia na kukwambia, '' mume wangu mwanga kaanguka kutoka kwenye ungo hana hata nguo yaani mie nilikuwa nimelala kitandani bila nguo nikashangaa mtu kanidondokea juu nikiwa sielewielewi kabla hata sijapiga kelele la msaada ndo unaingia karibu unisaidie kumtoa huyu mchawi atakuwa amekuja kutuwangia mumewangu''.
Wewe kama mume utafanyaje hehehehe mke ndo kajitetea hapo.
Dah! yaani mimi sijui niseme nini, nahofia kukisia hukumu, ila naomba tu wachawi washindwe na walegee kuangukia kitandani pangu.... teh teh....
 
wako busy kutafuta hela na wamesahau wajibu wao home looh ndo wanakutana na wanga wamedondoka kutoka darini na wamedondokea vuitandani mwao.

kuna kosa wanaume tunalifanya, tunahisi kutafuta saaana hela ndio uanaume, mtu akirudi home kachoka hataki hata kuguswa, hili ni janga, ni heri ikifika saa moja mtu urudi nyumbani hata kama umekosa, hata ndege wa porini wanaishi hivo hivo la sivyo utashangaa wachawi watakua wanaanguka tu hata uombewe mara mia....
 
Copy and paste-samahan lakini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom