Fundisho kwa watu wenye dharau na matusi mbele za watu

wengi wenye dharau ni hulka zao tu binafsi,mtu aloenda shule huitmia elimu yake kumsaidia kuishi na watu wa aina zote.Dharau ni ujinga tu uishi ndani ya mtu mwenyewe.hamna mahali popote duniani ambako kuna chuo kinachofundisha dharau.Tubadilike jaman
 
Ujumbe huu umuendee moja kwa moja mkuu Matola...na wengine wote wanaodharau wenzao....
 
Last edited by a moderator:
la saba la saba kitu kidogo tu lasaba aaaghhrrrr haya kasome hadi la nane basi wasikudharau.
 
hili lijamaa linapenda kujivictimise kisa kaishia darasa la saba. kila post yake utakayokutana nayo lazima aongelee hilo....dont you have anything else in your life? are you trying to make yourself feel better by announcing humu kila leo that umeishia darasa la saba but some how na wewe umo¿ ni kutafuta umaarufu? "The Intelligent Anonymous Internet Persona Aliyeishia Darasa La Saba"!

uugh umechokwa. leta jipya. kasome hata form one basi
 
Wewe shyland mie ni msukuma mwenzako sikupendi kabisa kwa sababu umlipigia kura masele awe mbunge wa shy mjini,ukitaka undugu wangu na wewe urudi kachukue kadi ya chadema halafu unionyeshe.
 
ewe Shy land mada yako ilikuwa nzuri ila umeiharibu mwenyewe
ushauri wa bure

acha kujitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Wewe shyland mie ni msukuma mwenzako sikupendi kabisa kwa sababu umlipigia kura masele awe mbunge wa shy mjini,ukitaka undugu wangu na wewe urudi kachukue kadi ya chadema halafu unionyeshe.

mkuu ccm na mimi ni kama shetani na yesu.
 
Back
Top Bottom