Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
1. Wametangazwa maraisi wawili kuwa kila mmoja ameshinda; mmoja 54% na mwingine 51%.
2. Kila mmoja amekushaapa kama Raisi wa Ivory Coast.
3. Kila mmoja yuko kwenye harakati za kuteua baraza lake la mawaziri na kuunda serikali yake.
SWALI
Kweli nchi za kiafrika zinataka kufanya uchaguzi au tunaharibu tuu rasilimali za nchi kwa chaguzi ambazo matokeo yake hayahitajiki? Ni lazima kufuata mfumo huu wa kujifanya tunafuata demokrasia wakati ni upotezaji tuu wa rasilimali za nchi? Kwa nini tusirudishe tawala za machief, watemi na mangi?