Fundi wa nguo wa Mh. Rais anastahili pongezi

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,288
16,973
IMG_20190511_212352.jpg


Ona kitu kama hii ilivyosimama. Au anaagiza kutoka Saudi Arabia Straight? Sio kwa viwango hivi.
 
Huenda kuna Bullet proove ndani,si unajua tena hao jamaa ,ila mikono sasa
 
Kama Gwajima alisema ame editiwa na sie tukaamini kwanini nisiamini na Picha hii ya Rais 2016 akiwa Kibaha pia ime editiwa

Kuna kundi ovu kazi yao ni ku editi Wasukuma tuuu


Hahahahah
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom