Salaamu sana wakuu!
Napenda nijifunze ufundi wa magari nikipata resources na muongozo hivi vitanisaidia sana.
Kama kuna mwenye tutorials, notes na hata aliye na garage naeza kuhudhuria hapo kila nipatapo muda nijiongezee utaalamu.
Siwezi kwenda VETA au chuo lakini naeza kuja garage na kwa mafundi wakujitegemea.
Nataka nipate ujuzi wa mambo ya engine, jinsi ya kufanya repair na maintanance/preventive maintanance vizuri.
Natanguliza shukrani.
NOTE:
Elimu haina mwisho TUSICHOKE KUJIFUNZA MAARIFA MAPYA.