Fundi wa kushona nguo za Kike na Kiume anahitajika

Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,133
1,094
LON FASHION

Fundi nguo anahitajika.

sifa

1)awe na uwezo wa kushona nguo za kike na kiume

2)awe na kipaji cha ujasiliamali

3)awe mwaminifu

4)miaka 18 na kuendelea

kama una sifa hizo tuma taarifa zako kwa njia ya sms kwenda namba 0717254447, ukieleza jina lako, umri, mahali unapoishi, na uzoefu wako katika kazi.

NB: Tafadhali usipige simu, tukisoma maelezo yako tutakupigia simu wenyewe.

C&P
 
Still alive?? kuna nafasi bado mpaka sasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom