Fundi wa kushona nguo za kike anapatikana.

issujah

Member
May 25, 2017
7
2
Habarini wana Jf,, Nina ndugu yangu wa kike, yeye ni fundi wa kushona nguo za kike,, Naomba kama una mtu,ndugu,jamaa au rafiki, kampuni nk, ambayo inahitaj mtu wa fani hii, au kufanya nae kazi tuwasiliane kwa namba hizi 0658925880. Umri 22, kwa sasa yupo Mwanza. Asanten.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Bado yupo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom