Fundi wa kupauwa nyumba kwa gharama nafuu

JOH CARLOS

JF-Expert Member
May 13, 2016
576
267
Nimefanya kazi nyingi na nina uzoefu wa hali ya juu sana naomba kazi ya kupauwa nyumba yako napatikana Dar es salaam

namba:0753540602
Pia nafunga gypsum vzuri sana

Baadhi ya kazi zangu katika picha

Screenshot_20200909-093121.jpg
 
Mbona picha yenyewe ya paa halijamalizika? Nataka kufungua attachment insema siruhusiwi!!! Weka picha zaidi ya kazi zako mimi nataka kupaua nyumba yangu.
 
Unatengeneza zile paa za kisasa?!

Huduma za UVIMMO

1-Ujenzi wa nyumba
2-Kupaua kwa aina yoyote anayotaka mteja
3-Kupiga lipu
4-Bandaring
5-Kuweka gypsum au siring board
6-Kuskim na kupaka rangi nyumba
7-Kuseti mfumo wa choo.
8-Kufanya waring ya umeme kwa mfumo wa kisasa
9-Kutengeneza flem na milango
10-Kutengeneza grill za milango na madirisha.
11-Kuseti tailizi (tiles)
12-Ushauri kwa wateja wetu.

Kila kazi inachukua muda mfupi sana.
Tumewekeza kwenye muda zaidi kuliko chochote.
#PIA , bei za UVIMMO ni za chini sana.

Wasiliana nasi kwa

0629361896
0711628185
 
Huduma za UVIMMO

1-Ujenzi wa nyumba
2-Kupaua kwa aina yoyote anayotaka mteja
3-Kupiga lipu
4-Bandaring
5-Kuweka gypsum au siring board
6-Kuskim na kupaka rangi nyumba
7-Kuseti mfumo wa choo.
8-Kufanya waring ya umeme kwa mfumo wa kisasa
9-Kutengeneza flem na milango
10-Kutengeneza grill za milango na madirisha.
11-Kuseti tailizi (tiles)
12-Ushauri kwa wateja wetu.

Kila kazi inachukua muda mfupi sana.
Tumewekeza kwenye muda zaidi kuliko chochote.
#PIA , bei za UVIMMO ni za chini sana.

Wasiliana nasi kwa

0629361896
0711628185
Acha ushamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom