Fundi umeme natafuta kazi

Emmanuel Kidasi

New Member
Oct 25, 2018
2
0
Mimi naitwa Emmanuel Kidasi mwenye umri wa miaka 31 ni fundi umeme, nimesoma elimu yangu ya secondary na kisha kujiunga na nafunzo ya VETA kisha kuhitimu mwaka 2010, nimefanyakazi sehemu mbalimbali kwenye mashirika ya serikali na binafsi ikiwa na TANAPA, KILOMBERO pia nimefanya kwenye makampuni mbalimbali ya umeme.

Je, unahitaji fundi atakaye kufanyia mifumo bora na salama na mipangilio bora ya umeme.

Mawasiliano
0652 001005
0752 851928

IMG-20211020-WA0006.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom