Fundi skimming, rangi, tiles na gypsum anahitajika Mwanza

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Nahitaji fundi aliyebobea kwenye hiyo kazi hapo juu, ambaye yupo Mwanza.

Nina kazi hiyo anitafute tuongee.
 
David Molinga wa yanga aka vyuramid yupo hapo mwanza sasa unateswkaje aisee..... nenda hapo kirumba mchukue mkapatane kazi.
 
Back
Top Bottom