FUNDI SIM/WANAOPENDA KUJIFUNZA KUTENGENEZA SIM KWA KIWANGO CHA JUU,post here | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FUNDI SIM/WANAOPENDA KUJIFUNZA KUTENGENEZA SIM KWA KIWANGO CHA JUU,post here

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jackie maduhu, Apr 9, 2012.

 1. J

  Jackie maduhu Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  FUNDI SIM/wanaopenda kujifunza kutengeneza sim kwa kiwango cha juu.

  Naitwa Jackie Maduhu nyumban misasi Mwanza. But now niko nchini Uganda kimasomo, niko chuoni newcastlehighsky generation.

  Nachukua ICT sky generation, pamoja na phone diagram solution with soft/hardware tech.

  Napenda sana kuwatangazia vijana wenzangu wa kitanzania, kama kuna mtu anahitaji apate upeo wa kutosha kuhusu ufundi sim asijali awe tayari maana nimebakiza mda kidogo sana kutoka hapa jikon. Huu ni utanguliz tu kama upo hapo nipost
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Mkuu sikuhizi simu hawatengenezi ikifa unatungua nyingine maana mchina kaharibu kila kitu labda kuflash kidogo inamantic
   
 3. J

  Jackie maduhu Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante sana rafik yangu,nawasalim sana huko nyumban.

  Ndiyo! Jibu lako ni zuri lakini? Pamoja na kutungua mpya sawa ila si wote!pengine uwezekano upo kama ni sim ndogondogo,kama like motorola c115,au jamii ya hizo.fikiria kwamba suruali ya 5000 ikichanika unaenda kwa fundi sembuse 50,000? Sim card 200 ila replacement yake vijijin hadi 2000.mbona nchi yetu bado sana kufikia hiyo hatua? Japo si wote.

  Blackberry ununue 800,000 then iharibu keypad control ya gharama chin ya 20000 kweli hata kama we unazo unaweza kuweka ndan na kwenda kununua mpya au ku2ngua kama unavyoita?

  Polen kwa msiba wa THE GREAT KANUMBA
   
 4. J

  Jackie maduhu Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante sana rafik yangu,nawasalim sana huko nyumban.ndiyo! Jibu lako ni zuri lakini? Pamoja na kutungua mpya sawa ila si wote!pengine uwezekano upo kama ni sim ndogondogo,kama like motorola c115,au jamii ya hizo.

  Fikiria kwamba suruali ya 5000 ikichanika unaenda kwa fundi sembuse 50,000? Sim card 200 ila replacement yake vijijin hadi 2000. Mbona nchi yetu bado sana kufikia hiyo hatua?japo si wote.blackberry ununue 800,000 then iharibu keypad control ya gharama chin ya 20000 kweli hata kama we unazo unaweza kuweka ndan na kwenda kununua mpya au ku2ngua kama unavyoita?

  Polen kwa msiba wa THE GREAT KANUMBA
   
 5. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Habari za Uganda!.
   
 6. J

  Jackie maduhu Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za huku kaka ni msiba tu ndugu yangu,yaan ukifika huku unaweza ukadhan msiba uko uganda.ila siamin kama kwel,nahis kama anaigiza tu halafu kesho au keshokutwa ntamuona tena kanumba! Ila yote tumwachie mungu.we uko maeneo gan hom kaka
   
 7. J

  Jackie maduhu Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za huku uganda ni msiba tu ndugu yangu,mi hadi mda cjaamin, kama kweli kanumba hayupo tena juu ya ardhi,nahis kana kwamba anaigiza tu halafu baadae tutakuwa nae tena maishan.ila hatuna jinsi wapendwa.ukifika huku unaweza fikiri kuwa pengine msiba uko uganda.watu wamefunga office zao wamejazana kwenye kumbi nyingi za starehe,hakuna bar inayocheza nyimbo! Zote ni chanels tu wame-tune.
   
 8. J

  Jackie maduhu Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za huku uganda ni msiba tu ndugu yangu,mi hadi mda cjaamin, kama kweli kanumba hayupo tena juu ya ardhi,nahis kana kwamba anaigiza tu halafu baadae tutakuwa nae tena maishan.ila hatuna jinsi wapendwa.ukifika huku unaweza fikiri kuwa pengine msiba uko uganda.watu wamefunga office zao wamejazana kwenye kumbi nyingi za starehe,hakuna bar inayocheza nyimbo! Zote ni chanels tu wame-tune.
   
 9. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Daaah, wabongo kwa kudanganyana hamjambo, haya na nyie mwenzenu anawapiga changa la macho na nyie mnakubali tena mnarespond, yaani haina tofauti na zile stori za baiskeli imegonga gari abiria wote kwenye gari wakafa.

  Haya wewe mleta hoja tuambie ICT SKY GENERATION ndio Certificate/Diploma/Degree gani hapa duniani, hata ukisearch google result ya kwanza ni huu mpost wako jamiiforums.

  Na hicho chuo kipo Uganda sehem gani, tuwekee na website ya chuo tuangalie na course zake.

  Kweli JF imevamiwa na watoto wadogo, utakuta kitoto kipo form two hakijui hata maana ya ICT kinakuja kuwahadaa watu wazima JF.

  Siku nyingine ukirudia tena upuupu wako nakulamba BAN.
   
 10. J

  Jackie maduhu Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poole sana kijana,najua elim uliyo nayo haikusaidii ikidhivyo pengine,yaan nahisi elim yako unaitumia ku targets word in google tu.nikualike semina kwenye email yangu jacskylovebest9@rocketmail.com naomba usiache maana unaaandika sana kama si kuongea sana.
   
 11. J

  Jackie maduhu Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu wapendwa watanzania wenzangu,jumatatu ijayo tunaanza mitihan ya finl so mniombee wapendwa wenzangu.je! Habari za huko bongo.
   
 12. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  usijali mi napenda sana hiyo fani kama ukija tuwasiliane e mail yangu ni [lucasmasanja7@gmail.com]
   
 13. J

  Jackie maduhu Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana rafk yangu toka nyumban,kuna kitu nimekigundua hapo nyumbani ndo maana ki2 maendeleo yanapenya lakini kwa juhudi hitajiki kweli.maana kuna wapinga maendeleo ambao ni flan na flan ambao serious wanaweza kuzuia maendeleo kwa wengine.elim ilikuja dunian ili kupunguza ukabila na ubaguz bila kuacha unaafk ambao hauna faida ya leo wala kesho.bt kuna watu hao hao waliosoma wengine hata wako vyuon 2 wanamaliza hela za wazaz wao bila lolote ambalo litawasaidia maishan,ila mimi vijan wenzangu n a w a t a n g a z i a kwamba hakuna kiletacho maendeleo dunian tofaut na elim ya ufundi au fan yoyote kwa ujumla!!! Na ndicho kitakacho2boreshea maisha leo na kesho tanzanian.kuna kaka davd palmer hapo hom na2main kakangu hupend watanzania 2pate uhuru wa kuish na kujifunza vi2 ambavyo nasi 2navipata kwa wenzetu huku.2nasota ili nasi tuwasaidie wadogo zako.mwaka jana mwez wa 7 tulikuwa india kwenye chuo cha NOBLE ELECTRONIC MOBILEPHONE REPAIRING cha kaka mmoja anaitwa stuart.alisema kwamba hakuna kiletacho aman na raha dunia tofaut na kuwa na utaalam wowote uhusuo technology ya kisasa.hivyo nami hiyo point naikumbuka hadi leo.ndo maana najidai na kujiona kwamba nina msaada/mchango mkubwa sana kwa vijana wenzangu.hivyo kwako lucas usiwe na shaka ukinipata ujue kuwa matatizo yote ya sim&computer yatageuka kuwa rahisi kama kufunga mkanda wa surual yako.mawasiliano zaidi na majibu ya haraka nitafute kwenye gmail , maduhujackier@gmail.com
   
 14. J

  Jackie maduhu Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana rafk yangu toka nyumban,kuna kitu nimekigundua hapo nyumbani ndo maana ki2 maendeleo yanapenya lakini kwa juhudi hitajiki kweli.maana kuna wapinga maendeleo ambao ni flan na flan ambao serious wanaweza kuzuia maendeleo kwa wengine.elim ilikuja dunian ili kupunguza ukabila na ubaguz bila kuacha unaafk ambao hauna faida ya leo wala kesho.

  bt kuna watu hao hao waliosoma wengine hata wako vyuon 2 wanamaliza hela za wazaz wao bila lolote ambalo litawasaidia maishan,ila mimi vijan wenzangu n a w a t a n g a z i a kwamba hakuna kiletacho maendeleo dunian tofaut na elim ya ufundi au fan yoyote kwa ujumla!!! Na ndicho kitakacho2boreshea maisha leo na kesho tanzanian.kuna kaka davd palmer hapo hom na2main kakangu hupend watanzania 2pate uhuru wa kuish na kujifunza vi2 ambavyo nasi 2navipata kwa wenzetu huku.

  2nasota ili nasi tuwasaidie wadogo zako.mwaka jana mwez wa 7 tulikuwa india kwenye chuo cha NOBLE ELECTRONIC MOBILEPHONE REPAIRING cha kaka mmoja anaitwa stuart.alisema kwamba hakuna kiletacho aman na raha dunia tofaut na kuwa na utaalam wowote uhusuo technology ya kisasa.

  Hivyo nami hiyo point naikumbuka hadi leo.ndo maana najidai na kujiona kwamba nina msaada/mchango mkubwa sana kwa vijana wenzangu.hivyo kwako lucas usiwe na shaka ukinipata ujue kuwa matatizo yote ya sim&computer yatageuka kuwa rahisi kama kufunga mkanda wa surual yako.

  mawasiliano zaidi na majibu ya haraka nitafute kwenye gmail , maduhujackier@gmail.com
   
 15. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2013
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  BW lucas tayari niko nchini.nitafute kwenye 0782475740
   
 16. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2013
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ndugu zangu mafundi sim/computer na wa-pendao fan hii tayari niko nchini tz .tutafutane kwenye 0782475740
   
 17. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2013
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  sikuwahi kujua kama wa2 hawa bado wapo ndani ya JF
   
 18. Kamanda Kazi

  Kamanda Kazi JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2013
  Joined: Dec 15, 2012
  Messages: 2,622
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  huyo tapeli tu hana lolote! nasoma mi-comments yake naona umejaa upupu tu!
   
 19. ramadhansalum

  ramadhansalum Member

  #19
  Feb 19, 2014
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daaah! Kwel coz mi mwenyewe napenda xana kujua jins ya kuflash cm and repairing for general
   
 20. m

  mseveni Senior Member

  #20
  Feb 20, 2014
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mm nataka nikifunze ufundi radio na sm
   
Loading...