Fundi rangi na decoration za nyumba

mboga TZ

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
434
482
Wakuu karibuni kwa finishing nzur za nyumba na za kisasa Kama wallpaper ,silkoat ,drewa,decoo,,moulding ,wall panel ,camsilver,wall master ,cotton paint belka ,skiming na rangi za kawaida za nyumba napatikana mbeya call or wasup 0757735884
1584551537662.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu watu wanasema siyo nzuri kwa urembo unaodumu kwa siku nyingi/ Wewe unasemaje?
Huwez kufanya finishing bira skiming haiwezekan kabsa unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha plasta inapigwa kwa kufuata kanuni muhimu plasta ikikosewa na skiming haiwez kudumu hakikisha fund wako wa plasta ana zingatia ratio nzur ya cement na kuweko water proof kwenye msing Kama nyumba ipo kwenye sehemu yenye unyevunyevu

Mkuu, ratio nzuri katika plasta inatakiwa iweje?
 
Back
Top Bottom