Fundi mitambo wa RTD Bwana Ali Said Tunku yuko wapi?

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Hivi fundi mitambo wa RTD Bwana Ali Said Tunku yuko wapi, mbobezi huyu alikuwa mala kwa mala katika gari la matangazo ya RTD lijulikanalo kama OB-VAN hususani kwenye matangazo ya mpira. Yuko wapi mheshimiwa huyu. Nimemkumbuka kwa jinsi watangazaji kama akina Greyson Mndeme,Noel Namalowe,Jacob Tesha walivyokuwa wakimtambulisha kwa mbwembwe.
 
Tunku+20171024_180859.jpg
 
Back
Top Bottom