Fundi:Meza ya kioo kilichovunjika.

1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
2,129
2,765
Habari za wakati huu.
Wakuu meza za vioo zina changamoto zake,zinapovunjika..
Mm wakati huu nikinunua itakuwa meza ya tatu.
Sasa kabla sijanunua nyngne nauliza kama naweza nikapata spear ya meza,namaanisha kioo tu.
Maana kioo kimevunjika chote imebaki frem pekee.
Msaada tafadhali.
Kuna mahali naweza nikapata kioo ili nikifitishe kwenye frem ya meza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachment
IMG_20181231_130903_9.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa fundi seremala yeyote.

Kama upo Dar nenda KKoo ingia maduka wanayouza hizo meza muonyeshe ilivyokua nzima na uliza kama wana vioo vyake.
 
Nina meza imara nauza mkuu yani kile kioo ni cha pua
Habari za wakati huu.
Wakuu meza za vioo zina changamoto zake,zinapovunjika..
Mm wakati huu nikinunua itakuwa meza ya tatu.
Sasa kabla sijanunua nyngne nauliza kama naweza nikapata spear ya meza,namaanisha kioo tu.
Maana kioo kimevunjika chote imebaki frem pekee.
Msaada tafadhali.
Kuna mahali naweza nikapata kioo ili nikifitishe kwenye frem ya meza?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 1gb

Vipi ulipata suluhisho, ninaface the same problem, Tafadhali kama ulipata suluhisho nijuze
 
Aisee sikufanikiwa kabisa.
Nilitupa Sikuwa na namna nyingine japo klikaa saana
 
Back
Top Bottom