Anahitajika fundi Mechanics alie base sana kwenye Automobile na mambo ya Garage. Vigezo awe na umri chini ya miaka 30 naawe na cheti cha veta, eneo la kazi ni DSM ni pm au tuma msg kwenye no 0785966169