Fundi Mbobezi wa Fridge namuhitaji. Awe na at least Degree. Malipo siyo tatizo

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Wadau mnakumbuka lile fridge nliwaambia nalotumia home ambalo member mmoja wa Jf alisema " Mkuu hiki si ni chumba kabisa!"

Kuna taa moja imeungua nahitaji fundi aliyebobea at least awe na degree ya ufundi huo aje kubadilisha taa. Taa nmefanikiwa kuipata imeingia jana, leo ndo nimeletewa niliagiza nje maana hapa hazipo.

Fridge lenyewe ni kama chumba hivi ukitaka kuchukua kitu unaingia ndani siyo unaingiza kichwa au mkono tu.hapana.unaingia kabisa ndani unatembea kuchukua unachotaka.

Kama kuna fundi mtaalamu ana elimu ya kufaa please tuwasiliane ntamwekea mafuta kwenye gari lake na pia asihofu malipo aje tu na mashine ya EFD.

Huwa silipi bila kupewa receipt.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom