Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,499
- 92,317
Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!
mirror ni king'amuzi na glass ni kisambuzi,una swala jingine?Je, unaweza ukataja tafsiri za "mirror" na "glass" kwa kiswahili?
Hii ndo Tz na watu wakemirror ni king'amuzi na glass ni kisambuzi,una swala jingine?
nimesaahau namba yako mwisho inaishia na ngapi vileHivi kweli hilo ni swali?
wanaume wa dar mna vituko sana,mwanaume una kioo kikubwa hivyo ili uwe unajitazama vizuri da!