Fundi gereji afariki baada ya kuangukiwa na gari

Nadhani mleta uzi una makosa mengi sana. Imagine; 14yrs boy ati unamuita fundi wa magari. 2. Ati alikuwa anafungua ringi??!!! Nimejaribu kusoma tena kumbe ndivyo ulivyosema. 3. Hiyo ringi ilikuwa inafunguliwa gari likiwa juu ya jeki.
Pls fafanua
 
Miaka 14! Huyu si fundigari bali ni mtoto aliyekuwa anatumikishwa, hivyo aliyemuajiri lazima akamatwe akajibu kosa la utumikishaji watoto chini ya miaka 18.
Punguza ujuaji, umejuaje alikuwa anatumikishwa. Kama alikuwa kwenye mafunzo je
 
Inawezekana kweli ana 14 but sio fundi, ni helper,,,hivyo msimshambulie mleta uzi sio kosa lake, nae ameleta taarifa kama ilivyo
 
Daah, 14yrs???! Wazazi wake bado wako uraiani au wameshawekwa ndani? Na mwenye hiyo gereji bado yupo uraiani?
 
Wengi siku hizi akishapiga jeck wanaweka tyre au gogo chini yake kabla ya kuingia uvunguni kuanza kazi, kwa kuhofia jeck ku fail
 
Back
Top Bottom