Fundi au garage Nzuri ya kutengeneza CRV Honda

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Salaam wanna jamvi
Msaada Kama kuna mtu anafahamu mafundi waliobobea kwenye gari za Honda CRV, sio DT Dobie hawa wetu aw maanisha maana hao wengine mfuko hauruhusu, nimegundua kwa baadhi ya makundi inaonyesha wengine wanashindwa kudeal na engine za hizi gari zanye mimba kila siku zinachemsha
 
Muone mwamba anaitwa jutu la miraba minne hautajutia
 
Back
Top Bottom