Fundi anahitajika

Foxhound

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
28,057
74,465
Natafuta fundi wa kuweka tinted kwenye madirisha ya vioo, bei yake isiwe kubwa ambayo sitoweza kuimudu na ni kwa ajili ua kuniwekea tinted ninapoishi. Kama yupo ani Pm niweze kumpatia contact ili tuwasiliane.
Ni vizuri pia tukapatana na bei ili iwe ni rahisi kazi kufanyika na kumuandalia chake ili atakapomaliza kazi kabla jasho lake kukauka niweze kumpatia haki yake.
 
Back
Top Bottom