Fundi akikwambia hii kitu usikubali!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Yaani gari imewasha taa ya check engine(kuonyesha kuna tatizo) nyie mnasema tuizibe kwa tape ili isionyeshe ndio mmetatua tatizi kweli?

Mungu anawaona
IMG_20210512_184819.jpg
 
Back
Top Bottom