fumbo

nessonlegend

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,698
1,507
EDITED:
Mwalimu alisema laiti jana ingekuwa ijumaa,leo ingekuwa jumamosi.Mwalimu aliyasema maneno hayo siku gani?

Baada ya miaka kadhaa nakuja na ka update haka hapa chini,

UPDATE: Changamsha akili na fumbo hili la kiswahili. Tuone IQ yako ipo vipi

Fumbo: Upepo ulikuwa unavuma sana kutoka mashariki hadi magharibi. Nilikuwa nikiliendesha gari la moshi linalotumia umeme kutoka Burundi hadi Malawi. Je, moshi ulielekea upande gani?
 
Aliyasema kati ya siku hizi:
Jumatatu, au Jumanne, au Jumatano, au Alhamisi, au Ijumaa, au Jumamosi, au Jumapili...
Lazima ntakuwa nimepata maana hakuna siku zaidi ya hizo hapo juu...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom