Selekta Member Jan 14, 2011 24 9 Oct 5, 2011 #1 "uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea uhai wa mtu mwengine" mimi nani?
"uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea uhai wa mtu mwengine" mimi nani?
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,050 Oct 5, 2011 #3 feis buku said: ww ni Selektaaa!! Click to expand... ajwaaa,mpe mji
ENZO JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,242 1,736 Oct 5, 2011 #4 Bishanga said: ajwaaa,mpe mji Click to expand... Aende IGUNGA.
Beautiful Lady Senior Member Jun 8, 2011 135 43 Oct 5, 2011 #7 Selekta said: "uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea uhai wa mtu mwengine" mimi nani? Click to expand... umepewa mji wa Igunga, tupe jibu basi.
Selekta said: "uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea uhai wa mtu mwengine" mimi nani? Click to expand... umepewa mji wa Igunga, tupe jibu basi.
M Mr Rocky JF-Expert Member Oct 10, 2007 15,178 14,349 Oct 5, 2011 #8 kwani mara hii tushakuwa wanafunzi na mafumbo jamani Ahhh ngoja nirudi msingi nikasome