Fumanizi

Smartmind

Member
Feb 17, 2011
31
6
262396_202532276465831_100001271802985_611416_1271604_n.jpg

Ingekua wewe ungechukua uamuzi gani hapo?
 
Sasa hapo aliyefumaniwa ni nani ni huyo binti na mumewe au ni huyo kipara na mkewe (mwenye suit)? Maana inaonesha hao wameka kisampuli sampuli. Wananshangaza!
 
Kama ni ndo huyo mume, nawapa hi, napita zangu naweka mkoba wangu mahali pake. Then naendelea na mambo yangu. Simgombezi, wala simpigi, wala simchekei. Hatanipikia, najipikia msosi wangu, kitandani mzungu wa nne, nikiamka najipashia maji ya kuoga, natengeneza chai, naenda zangu ofcn, nafanya hivyo mfululizo, then kitakachotokea hebu jazeni majibu hapo .....................................
 
hakuna kuongeleshana tena ndani na hakuna kusalimiana milele
 
Nitawaomba samahani halafu ntatoka kwenda kuangalia TV sebuleni wakimaliza nitampa pole wife kwa kazi nzito aliyoifanya, baada ya hapo kila m2 na hamsinizake
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36662&amp;stc=1" attachmentid="36662" alt="" id="vbattach_36662" class="previewthumb" />
Ingekua wewe ungechukua uamuzi gani hapo?
mbona wamelala na nguo? Bila shaka ni maigizo ya mzee Jangala
 
Mimi ningechukua kiti ningekaa kisha ningewaambia waendelee ili nione vizuri!
 
Dah hiyo ni movie bana. Kitu kama hii ni noma kutokea maana hicho kitakachotokea hapo ni balaa
 
.....natoka naenda watch tv kisha wakimaliza nampa wife pesa za kwenda kulipia lodging siku nyingine kama wangependa ku-do tena!!!!
 
Back
Top Bottom