Fumanizi takatifu!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,488
17,684
Habari zeinyu wadau wa MMU?

Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.

Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe 'akicheza gemu' na mume mamluki, huchukua hatua ya huwaadhibu watuhumiwa wote wawili kwa kuwatembeza mitaani wakiwa uchi wa mnyama!

Siku chache zilizopita jamaa mmoja alimfumania mkewe akimegwa na njemba fulani mitaa ya kati. Badala ya kuwachukulia hatua za kisheria/kinidhamu, akaamua kuwakomoa kwa kuwatembeza uchi mitaani huku raia wakishuhudia.

Hivi kweli adhabu za namna hii zinazingatia utu na haki za binadamu? Wadau mnazungumziaje unyama huu?

Picha nitatupia baadae.
 
Picha please!

attachment.php
 
Halafu baada ya hapo kinafata kikao cha usuluhishi na anamsamehe mkewe au mwanamke anafungasha tu na kuondoka?
Muda huo anaowadhalilisha hivyo anakuwa amewafunga kamba anawaburuza au wanatembea kwa miguu yao? Hivi mtu akifumaniwa na akili yake inasimama kufanya kazi?

Ningekuwa mshauri wa ndoa nahisi ndoa nyingi sana zingevunjika!!!
 
Mmmh! Kuwatembeza uchi sisapoti!
How if ukiamua kurudia?
Vipi macho ya watoto barabarani! Najua watoto wa kileo wanajua kila kitu, but ni bora waone hukohuko kwenye kideo!
 
fumainizi litakuwaje takatifu?
shetani tangu lini akawa mtakatifu?
 
Mwizi ni mwizi tu, hata kama anaiba mkeo pia mwizi tu. Anatakiwa achomwe moto kama vibaka wengine huko mabarabarani hizi adhabu bado ndogo. Yaani nigharamie mimi kumpendezesha, mahari nitoe mimi, Kulisha nilishe mimi, Kuvalisha mimi alafu wewe uje utumbukize mdude wako uniachie ukimwi wako na usababishe watoto wangu wote wakose malezi ya baba na mama. EBO!!!!! Sijaoa ila nikija sikia naibiwa, aisee naenda gelani ya petroli guest.
 
nikimfumania mtu na mke wangu namkodishia mabaunsa wamfumue marinda huku nikichukua tukio zima kwa picha za mnato na video. baada ya hapo hizo picha nazisafisha na kuzipeleka kwa mkewe, Baba na mama yake, kaka na dada zake, marafiki zake na bila kusahau Boss wake...

Haitabadilisha ukweli kuwa nimet*mbewa ila kidogo itanipunguzia machungu, na huyo mwanamke natupa kule!!!
 
Habari zeinyu wadau wa MMU?

Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.

Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe 'akicheza gemu' na mume mamluki, huchukua hatua ya huwaadhibu watuhumiwa wote wawili kwa kuwatembeza mitaani wakiwa uchi wa mnyama!

Siku chache zilizopita jamaa mmoja alimfumania mkewe akimegwa na njemba fulani mitaa ya kati. Badala ya kuwachukulia hatua za kisheria/kinidhamu, akaamua kuwakomoa kwa kuwatembeza uchi mitaani huku raia wakishuhudia.

Hivi kweli adhabu za namna hii zinazingatia utu na haki za binadamu? Wadau mnazungumziaje unyama huu?

Picha nitatupia baadae.

kama unajua haki na utu wa binadamu kwa nini ule muke ya mtu tena ashukuru alipaswa wambandue ndio watembezwe damn..
 
Siku wakutafunie demu lako ndiyo utaona upi unyama na upi ni utu...:A S 39::A S 39::A S 39:

Habari zeinyu wadau wa MMU?

Natumaini mu buheri wa afya, hasa baada ya pilika za hapa na pale za maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika.

Siku hizi umeibuka mtindo ambao mume akimfumania mkewe 'akicheza gemu' na mume mamluki, huchukua hatua ya huwaadhibu watuhumiwa wote wawili kwa kuwatembeza mitaani wakiwa uchi wa mnyama!

Siku chache zilizopita jamaa mmoja alimfumania mkewe akimegwa na njemba fulani mitaa ya kati. Badala ya kuwachukulia hatua za kisheria/kinidhamu, akaamua kuwakomoa kwa kuwatembeza uchi mitaani huku raia wakishuhudia.

Hivi kweli adhabu za namna hii zinazingatia utu na haki za binadamu? Wadau mnazungumziaje unyama huu?

Picha nitatupia baadae.
 
aliwe wako utafanyaje? ukitusaidia kutupa hili jibu itatupa mwongozo wa kukupa jibu ya swali lako

akiliwa wangu nitachukua hatua za kisheria, ikiwamo kudai fidia ya mamilioni kama anayodaiwa nabii Mwingira.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom