Fumanizi: Mpenzi wangu na mwanamke mwingine

Jaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri
HATA USIPOMASMEHE UTAPATA MWINGINE YANAWEZA TOKEA TENA, WANAUME NGONO IKO KARIBU KULIKO NYIE....WE ANGALIA KAMA ANAOMBA MSAMAHA WA KWELI MSAMEHE TU MAANA ANAKUPENDA WEWE WENGINE NIMICHEPUKO TU YA KUPITA.....TUNZA MALI YAKO AMA ITAIBIWA HUKU UKIONA
 
Mmh. Hapo mwenye maamuzi ni wewe mwenyewe kwa kuwa ndio unayejua vyema tabia zake.

Pia huwa vitu kama hivi maamuzi huwa yanatoka papo hapo sasa ukisema mpaka upate ushauri huku jf hizo ni dalili za kwamba bado unamuhitaji
 
Back
Top Bottom