J the jojo
Member
- Apr 15, 2017
- 55
- 98
Jamani nimemkuta mpenzi wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha, je nimsamehe au niachane nae?
Naomba mnishauri.
Naomba mnishauri.
Siyo mala ya kwanza hii ni kama mala ya tatu tena na wanawake tofautisamehe saba mara sabini
Umemkuta anafanya nin?tuanzie hapoJaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri
Siyo mala ya kwanza ni kama mala ya tatuKama ndio fumanizi la kwanza hamna budi kusameheana
Mambo ya kawaida hayo
7x70 = 490Siyo mala ya kwanza hii ni kama mala ya tatu tena na wanawake tofauti
Uwiiii kumbe ni mzoefu kimbia ufeSiyo mala ya kwanza ni kama mala ya tatu
Anakula papuchiUmemkuta anafanya nin?tuanzie hapo
HATA USIPOMASMEHE UTAPATA MWINGINE YANAWEZA TOKEA TENA, WANAUME NGONO IKO KARIBU KULIKO NYIE....WE ANGALIA KAMA ANAOMBA MSAMAHA WA KWELI MSAMEHE TU MAANA ANAKUPENDA WEWE WENGINE NIMICHEPUKO TU YA KUPITA.....TUNZA MALI YAKO AMA ITAIBIWA HUKU UKIONAJaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri
Kumbe jibu unalo!!Siyo mala ya kwanza hii ni kama mala ya tatu tena na wanawake tofauti
Hahaaa. Hivi best haya huwa ni mambo ya kawaida ujue mi sijuagi.Kama ndio fumanizi la kwanza hamna budi kusameheana
Mambo ya kawaida hayo
Duuh! Kama ni hivyo, piga tu chini fasta... Hapo utaletewa magonjwa na maradhi ya moyo na yale mengine yasiyotibika... Mamaa, hama hiyo kambi sio salama kwako...Siyo mala ya kwanza hii ni kama mala ya tatu tena na wanawake tofauti
Heee pana shida sana hapo kumbe ndio tabia yake hiyoSiyo mala ya kwanza ni kama mala ya tatu
Itakuwa kuna udhaifu unao ndio mana anarudia mara kwa mara. Pia usimpende sana mwanaume atakusumbua na huyo ameshajua kila ukimfumania akikuomba samahani wewe unamkubalia ndio maana.Siyo mala ya kwanza ni kama mala ya tatu
Wewe msamehe tu sababu wewe hajakufumania lakini wafanya kama yeyeJaman nimemkuta mpenz wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha je nimsamehe au niachane nae???? Naomba mnishauri