Fumanizi lazua balaaaaaa

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
944
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa.
Konda akawa anamshangaa!!!!!!!
jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?"
Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi???
 
Atakuwa kaibana kwa nyuma. Teh
 
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa.
Konda akawa anamshangaa!!!!!!!
jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?"
Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako umeweka wapi???

baada ya konda kumuuliza jamaa mchz akaingiza kidole sikioni kisha shiling mia mbili ikadondoka chini then jamaa akaiokota na kumpa yule konda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom