Fumanizi ahhhhhhhhhhhhh jamani.................

Hivi wewe peke yako ndiyo unapost hapa? Unajaza server na ujinga wako. Hembu toaaaaaaaa hapa
 
hiyo server ni ya mama yako au ya baba yako mbona unachuki kama mwana mama mwenye mimba changa...Acha kisebusebu
hebu mkuu nisaidie ananishambulia katumwa na Viongozi wake wakuu wa kazi asante mkuu kwa kumpa maneno yake huyu Mleta Pumba hajuwi hali hapa ni Thread ya Picha na Video..... mkuu ubarikiwe
 
weka vitu vya kueleweka basi!mashine zina load mpaka zinapata moto ngoma kimya!watu wanavyolalamika mi naona ni sawa tu
 
weka vitu vya kueleweka basi!mashine zina load mpaka zinapata moto ngoma kimya!watu wanavyolalamika mi naona ni sawa tu
Mkuu hapa kwenye hii Thread ni mahali pa Picha na Video na Matukio mbali mbali ya ndani ya Nchi na nje ya Nchi wewe kama unayo Video au picha yoyote inayoshangaza watu iweke hapa tuione. Hapa sipo mahali pa Mashindano au Majadiliano ya Dini au Siasa tafadhali heshimu Wanachama wenzako sio tu kulaumu laumu ovyo pasipo na mpango wowote ule. Kabla hujajibu kwanza fikiria ndio ujibu sio kujibu ovyo ovyo tu asante.
 
Hata huyu aliyefumaniwa, ama yeye au jamaa zake wapo humu JF kwa hiyo haitashangaza kama wengine hawataipenda hii post
 
Hili fumanizi ni la mwaka jana hivyo lime kwisha expire unaturudisha nyuma bana...
 
je umesoma nini kwenye fumanyizi hilo, ama ndoo tuseme upepo umepita jifunze kile utacho kiona, kusikia, ama kugu.................
 
wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!! heshima kwa wanawake we mwenyewe
yawezekana mimba ululeta matata mwanzo mwisho mama
alikumezea tuu kukwambia



hiyo server ni ya mama yako au ya baba yako mbona unachuki kama mwana mama mwenye mimba changa...Acha kisebusebu
 
Back
Top Bottom