FULSA KWA MTANZANIA MWENZANGU ULIE SIRIUS.

GEBE MILLINGA

Member
Sep 1, 2016
34
25
Je? Wewe ni mfanya Biashara wa
Used spare part, New spare part na Magali?
Je? Umeshindwa kuingia Japan kwa sababu yoyote ile?
BASI sasa umefanikiwa njoo tuzunguze mm ni Mwenyeji na Nina Mwenyeji.
+255754771177
+255653003377
gebemillinga@yahoo.com
 
Soma uzi kabla huja ubandika, waweza kua na jambo la msingi lakini uandikaji ukasababisha usipate mtu hata mmoja, pia kiswahili ni kizuri kama wajijua lugha haiko mahali pake
 
Je? Wewe ni mfanya Biashara wa
Used spare part, New spare part na Magali?
Je? Umeshindwa kuingia Japan kwa sababu yoyote ile?
BASI sasa umefanikiwa njoo tuzunguze mm ni Mwenyeji na Nina Mwenyeji.
+255754771177
+255653003377
gebemillinga@yahoo.com
Kwa jinsi tu unavyoandika Sihitaji hata kujua ni Biashara gani Unafanya .Automatic haitakua na Ufanisi.
Sorry.
 
Sirius ni kitu gani?, magali?, spare "part"?, we mwenyeji wa wapi?, Sirius ama Japan, watu wanapigwa kila siku
 
Bora Umekua Msaarabu.

Ulichokosea Ni .
Jinsi Ulivyoandika Post yako inaonesha haupo Makini kabisa , hakuna Neno Serius , Unapjaribu kutafuta Biashara Jaribu kua Na maneno yanamaanisha kuliko Yanayoleta hali ya Mzaha.

2. Kuna Tofauti kati ya Fursa na Fulsa , sijui ww ulimaanisha nn.

3. Umeonyesha ww na mtu fulani ndio wenyeji / japo ujasema mwenyeji wa wap , ika pia kuna utata Ni nani mwenyeji wa huko unapopasema ww au kuna mtu then ww ni kama Dalali.

In short rudi Nyuma Tengeneza Tangazo Zuri , inaonekana Umepewa tu maelezo na mtu Chaap Ukakimbilia Kuandika hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom